Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Astaghafirullah Cc adriz njoo huku kaka Kuna risiti hapa😂🤣😁😁😁
 






Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga​

1 of 50Next Last
Unwatch
•••
[IMG alt="OKW BOBAN SUNZU"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/52/52569.jpg?1628243497[/IMG]

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member​

Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
 
Ndiyo maana huyu jamaa huwa namchukia maana anajifanya anajua sana, kumbe ni zoba tu! Kukurupuka kwako OKW BOBAN SUNZU ni majanga
 
Na kilaza mwezake ni yule popoma genta
Huyo ni zero kabisa. Unajua mchezaji hata akiwa Messi au Ronaldo lazima azoeane na wenzie. Mwaka wa kwanza huwezi judge, lazima apate muda.

Mpira wetu ni tofauti na wa wengine. Pili kuna tatizo la ushabiki nyanya kama wa OKW BOBAN SUNZU au huyu nyang’au GENTAMYCINE nao ni shida. Mtu anakaza shingo mpaka unajiuliza huyu alishafika hata darasa la nne!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…