Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Watu wengi huandika makala za kutabiri makosa ya kusajili na hukosea either kwa mchezaji kufanya vizuri au vibaya tofauti na alivyotabiri. Sioni sababu ya kumwandama OKW baada ya kukosea utabiri wake.
Shida wanaongea na kuandika tu, hawafanyi tathmini... Na wakiandika na kuongea wanakuja na jibu la moja kwa moja bila kituo
 
Watu wengi huandika makala za kutabiri makosa ya kusajili na hukosea either kwa mchezaji kufanya vizuri au vibaya tofauti na alivyotabiri. Sioni sababu ya kumwandama OKW baada ya kukosea utabiri wake.
Wewe nani kakuambia tunamuandama?
Sisi tunamuandama au aziz k ndio anamuandama?

Uzi unasema hasara ya yanga kumsajili aziz ki
Hajasema wana jf
Sisi kazi yetu ni kumkumbusha yale aziz ki anafanya!
Anajiandama mwenyewe kwa ujinga wake
Ukiwa mzembe kufikili utaadhibiwa kwa uzembe wako
Mkomage kuandika vitu kwa mihemko
 
Haya mkumbushe boss.
 
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.

Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;

Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m

Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m

Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Mhasibu tupe tathimini ya Hasara....imefikia trillion ngapi
 
Mwasibu akiwa anatoka kwenda kazini😂
 
Attachments

  • IMG_1080.jpeg
    IMG_1080.jpeg
    74.8 KB · Views: 6
Back
Top Bottom