Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida wanaongea na kuandika tu, hawafanyi tathmini... Na wakiandika na kuongea wanakuja na jibu la moja kwa moja bila kituoWatu wengi huandika makala za kutabiri makosa ya kusajili na hukosea either kwa mchezaji kufanya vizuri au vibaya tofauti na alivyotabiri. Sioni sababu ya kumwandama OKW baada ya kukosea utabiri wake.
Wewe nani kakuambia tunamuandama?Watu wengi huandika makala za kutabiri makosa ya kusajili na hukosea either kwa mchezaji kufanya vizuri au vibaya tofauti na alivyotabiri. Sioni sababu ya kumwandama OKW baada ya kukosea utabiri wake.
Heshimu mambumbumbuMwasibu mpuuzi huyu.Huko kazini kwake kama kweli ni mhasibu, basi hiyo kampuni ai shirika limeajiri mbumbumbu
Sawa, ila sioni mantiki ya kumshambulia huyu bila kuchoka, jambo haliishi. Kakosea kama wengine wanavyokosea.Shida wanaongea na kuandika tu, hawafanyi tathmini... Na wakiandika na kuongea wanakuja na jibu la moja kwa moja bila kituo
Mm sio OKW, usizungumze mambo usiyo na uhakika nayo kwa kutumia hisia.Wewe OKW hii ni account Yako ya ngapi hapa Jf ?
Haya mkumbushe boss.Wewe nani kakuambia tunamuandama?
Sisi tunamuandama au aziz k ndio anamuandama?
Uzi unasema hasara ya yanga kumsajili aziz ki
Hajasema wana jf
Sisi kazi yetu ni kumkumbusha yale aziz ki anafanya!
Anajiandama mwenyewe kwa ujinga wake
Ukiwa mzembe kufikili utaadhibiwa kwa uzembe wako
Mkomage kuandika vitu kwa mihemko
Mhasibu tupe tathimini ya Hasara....imefikia trillion ngapiUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Thibitisha Kwamba wewe sio ROBOT au OKWIMm sio OKW, usizungumze mambo usiyo na uhakika nayo kwa kutumia hisia.
Muuwe huyooThibitisha Kwamba wewe sio ROBOT au OKWI
Na makucha yakeKumekucha
Unapoteza muda.Thibitisha Kwamba wewe sio ROBOT au OKWI
Mhasibu fekiZiandaliwe tuzo jf
Hu uzi utashinda tuzo ya
Uzi bora uliokimbiwa na mwanzishaji😂