Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kucheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Astaghafirullah Cc adriz njoo huku kaka Kuna risiti hapa😂🤣😁😁😁Amna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?
Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong
Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
Ndiyo maana huyu jamaa huwa namchukia maana anajifanya anajua sana, kumbe ni zoba tu! Kukurupuka kwako OKW BOBAN SUNZU ni majangaUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Na kilaza mwezake ni yule popoma gentaNdiyo maana huyu jamaa huwa namchukia maana anajifanya anajua sana, kumbe ni zoba tu! Kukurupuka kwako OKW BOBAN SUNZU ni majanga
Huyo ni zero kabisa. Unajua mchezaji hata akiwa Messi au Ronaldo lazima azoeane na wenzie. Mwaka wa kwanza huwezi judge, lazima apate muda.Na kilaza mwezake ni yule popoma genta