Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga

Mpaka anyooke mwasibu feki huyu.
 
Watu wengi huandika makala za kutabiri makosa ya kusajili na hukosea either kwa mchezaji kufanya vizuri au vibaya tofauti na alivyotabiri. Sioni sababu ya kumwandama OKW baada ya kukosea utabiri wake.
Bado hujasema, usichokijuwa huyu alifikia hatuwa ya kuweka Uzi wa takwimu za Mayele Vs Kibu Denis.

Salama yake ni Mayele kuondoka Yanga ndio ameachwa apumuwe, ilikuwa kila Mayele akitetema tunamuwekea takwimu kwenye Uzi wake.

Yani jitu linalotumia maguvu bila akili kama Kibu Denis umfananishe na Mayele wa Yanga ni kuukosea adabu Mpira wa miguu.

Huyu Acha anyooshwe mpaka anyoroke.
 
Hahaha, haya boss. Pambaneni naye.
 
Huyu mhasibu ni moja ya watu ktk list naowaona ni bogus kabisa kwa nyuzi zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…