Hata Argentina wanatambua Maradona ni zaidi ya Messi .Mkuu kuwa na heshima kwa messi na Pele.
Kimafanikio na takwimu Maradona ni mdogo sana kwa Messi na Pele.
Mkuu kuwa na heshima bhanaaaa!
Wewe ndio unasema kuwa Maradona ni zaidi ya Messi.Hata Argentina wanatambua Maradona ni zaidi ya Messi .
Ndiyo Messi ameshinda mchezaji wa dunia mara kadhaa, ameshinda makombe mengi akiwa na Barcelona lakini tujiulize je Hiyo Barcelona alivyochezea Messi ilikuwa na kina nani ?
Barcelona ilikuwa timu bora duniani kuanzia kipa Mpaka namba 11.
Messi alikua kimpira akiwa chini ya Ronaldinho , iniesta na xavi wakimpatia msaada mkubwa wa mafanikio .
Wewe timu yako kibegi fc ni mbovu sanaWachezaji wa Yanga wana Jihad siku zote na mashabiki wao wana Hasira.
Waliposema nyumba Mwiko walikuwa wanamaanisha.
Ngoja sasa waje wakutimulie vumbi. Maana wao wako bize na Dejan wanasahau wana watu kibao pale hata goli moja hawana.
Aziz k huyu aliye kupiga goli kwenye zile goli 5 πππππUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Argentina wenyewe wamesemaje kwenye rank zao? Weka source yenye uhalali Ili usitumie nguvu kutoa maelezo.Wewe ndio unasema kuwa Maradona ni zaidi ya Messi.
Ila Argentina Messi ni zaidi ya Maradona.
Hiyo ni data ya kidunia.Argentina wenyewe wamesemaje kwenye rank zao? Weka source yenye uhalali Ili usitumie nguvu kutoa maelezo.
Ukishaweka hivyo unamuacha mhusika apambane na uhalali wa taarifa na kubishana nazo. Hakuna haja ya maneno mengiiiii.Hiyo ni data ya kidunia.
Messi kaipatia makombe ya kimataifa mara nyingi Argentina kuliko Maradona.
Takwimu hizo hapo.
Yani jamaa kaenda mbali hadi kumshusha Pele kwa Maradona.View attachment 2964233View attachment 2964234
Tatizo ni mfumo πHasibu Hana maono kabisaπ, aki ambiwa atazame biashara ita kuwaje ana ongea utumbo tuππ
Nikiwa kama shabiki wa Barca kindakindaki, Messi uwezo wake haukubebwa na Xavi wala Iniesta. Tusimzungumzie sana jamaa sababu hakuna wa kumfananisha nae ktk history ya mpira wa miguu.Hata Argentina wanatambua Maradona ni zaidi ya Messi .
Ndiyo Messi ameshinda mchezaji wa dunia mara kadhaa, ameshinda makombe mengi akiwa na Barcelona lakini tujiulize je Hiyo Barcelona alivyochezea Messi ilikuwa na kina nani ?
Barcelona ilikuwa timu bora duniani kuanzia kipa Mpaka namba 11.
Messi alikua kimpira akiwa chini ya Ronaldinho , iniesta na xavi wakimpatia msaada mkubwa wa mafanikio .
Umemsahau Samuel Eto'oHata Argentina wanatambua Maradona ni zaidi ya Messi .
Ndiyo Messi ameshinda mchezaji wa dunia mara kadhaa, ameshinda makombe mengi akiwa na Barcelona lakini tujiulize je Hiyo Barcelona alivyochezea Messi ilikuwa na kina nani ?
Barcelona ilikuwa timu bora duniani kuanzia kipa Mpaka namba 11.
Messi alikua kimpira akiwa chini ya Ronaldinho , iniesta na xavi wakimpatia msaada mkubwa wa mafanikio .
Hahahahaha. Mhasibu fekiJamaa ni Mwasibu kweli sasa bosi wake kazini akiona huu Uzi sijui itakuwaje ?
Futa hii π€£ππAmna kitu pale kama ameshindwa kufunga hadi mechi ya jana tutegemee nini?
Anawapa wakati mgumu mashabiki wa Uto kujaribu kumuelezea kuwa ni mzuri lakini kila mechi anayocheza anawa prove wrong
Ile mechi ya pre season walioshinda goli 9 haina utofauti na ya jana lakini mwana bado kashindwa kutumia fursa.
Astaghafirullah ππ€£πLabda mpuuzi mama yako. Huna mamlaka ya kunipangia maoni. Huyo mchezaji wenu mkitaka tusimtolee maoni mwambieni akacheze uvunguni mwa aliyemsajili. Ila akicheza huku public tutamuandika tu
23. Nguruwe FcSisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Mikia SC.
8. Mazumbukuku SC.
9. Manyaunyau (mapaka) SC.
10. Manyang'au SC.
11. Miso Misondo SC.
12. Mwakarobo SC.
13. Mazombi SC.
14. Kolokhamsa SC.
15. Kolowizards SC.
16. Kinyume nyume SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Bahasha SC.
20. Ngada SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Masandakolozidad SC.View attachment 2964343
In Manara voice.Futa hii π€£ππ