Hata Argentina wanatambua Maradona ni zaidi ya Messi .Mkuu kuwa na heshima kwa messi na Pele.
Kimafanikio na takwimu Maradona ni mdogo sana kwa Messi na Pele.
Mkuu kuwa na heshima bhanaaaa!
Ndiyo Messi ameshinda mchezaji wa dunia mara kadhaa, ameshinda makombe mengi akiwa na Barcelona lakini tujiulize je Hiyo Barcelona alivyochezea Messi ilikuwa na kina nani ?
Barcelona ilikuwa timu bora duniani kuanzia kipa Mpaka namba 11.
Messi alikua kimpira akiwa chini ya Ronaldinho , iniesta na xavi wakimpatia msaada mkubwa wa mafanikio .