Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu iheshimu Tabora boys mkuu, hatuwezi soma na mtu kama huyu[emoji20]Za chini chini ni kwamba mleta uzi hakuwahi kucheza mpira hata wa makaratasi na ni muhitimu wa KLF pale Tabora boys which means hamna namna anaweza kuwa alisoma Accounts baadae hata kwa ngazi ya certificate. Hapa anaongelea mambo mawili asiyo yajua hata kidogo
uliyo mtabilia km yanatimia hvMkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi
Anapata shidaaKila Ki akitupia goli basi mhasibu huko aliko anasonya......
😁😁😁Muhasibu wetu anakitu atafika mbali siku zote mwanzo ni mgumu mimi bado sijamkatia tamaa atasaidia Taifa kwa baadae kwa kipaji cha uhasibu alichonancho.
Oya Mbumbumbu hiyo hasara vp?Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Huna tofauti nahuyu mhasibu uchwara kwamba zengeli kufunga hajuiNaongezea kwa waliocheza mpira. Mchezaji anaangaliwa majukumu ktk position. Anavyopokea pasi au mpira na anavyotoa pasi au anaachia mpira (accuracy). Hizi ndiyo basics. Halafu vingine vyote ndo vinafata. Mwangalie Maxi Zengeli, ana hizo basics lakini hajua kufunga. Huyu akipata kocha mzuri wa ufungaji anakuwa vizuri. Mwangalie Moloko. Huyu ana kasi ila hana basics tajwa.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
La mchongoBONGE LA MHASIBU
Mtu mzima akivuliwa nguo huchutamaUzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana dhanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo;
Wakati wa usajili
Dr: Registration fee 400m
Cr: Bank 400m
Baada ya kugundua wamepigwa
Dr. Registration 400m
Cr: Provision of Loss 400m
Mwisho wa Mwaka hiyo loss inaonekana kwenye Profit & Loss Account
Mkuu uliona mbali...[emoji1787][emoji1787]Mkuu Huwa haujifunzi tu Kwa nyuzi zako za aina hii[emoji848][emoji848][emoji848]??
Mara zote zimekuwa zikikuumbua na ushahidi upo humu jukwaa..
Muda ni mwalimu mzuri tutakuja kufukua hili kaburi