Kihasibu:Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara.

POLEEEEEE
 
dube after signing his new contract alipewa 100k usd na azam then yanga wamempa 100k usd. total 200k kawa lipa azam. Acha kukaza kichwa yanga awaja lipa hiyo pesa yote.

misinformation hii
We jamaa ni mweupe sana kwenye soka hakuna unachojua

Hiyo unayosema alipewa ni sign fee, mchezaji akishapewa mkataba anakua ni mali ya timu hivyo timu inaamua kuweka kipengere cha endapo mchezaji anataka kuvunja mkataba (release clause) kiasi cha pesa ambacho timu inayomtaka inapaswa kukitoa ili kuuvunja mkataba au mchezaji mwenyewe akitaka kuvunja mkataba analipa hiyo pesa
 
Mangungu anaondoka lini?
 
Kwa kifupi hapo wamepigwa Dube sio mchezaji wa kutoa mil.500+ Yanga wamepigwa

Kwanza mchezaji mwenyewe ni gari la mkaa trip moja shamba moja garage toka afike nchi hii hajawahi kumaliza msimu mzima bila kuwa nje kwa majeraha

Feisal ambaye sio namba 9 kama yeye amecheza msimu mmoja tu azam amefunga magoli mengi kuliko magoli aliyofunga Dube kwenye msimu wake wowote bora toka atue nchi hii ikiwa ni zaidi ya misimu minne sasa

Kwa uwezo wake na rekodi zake kwa mchezaji wa aina hiyo aliyekuwa kabakisha mwaka mmoja azam Yanga wangepigwa hela nyingi sana ni 200mil

SIna shaka msimu ujao Mzize atakuwa na msaada mkubwa kuliko huyo Dube na hata goli 07 hawezi vusha
 
Unakurupuka kumchukua mzee wa pancha kwa gharama kubwa tena mchezaji wa kigeni halafu unasema umelipa kisasi. Huu ni zaidi ya u -hamnazo kama alivyosema Manara .
Jamaa wamekurupuka vibaya mno, Dube sio mchezaji wa kutoa mil 500 useme unalipa kisasi kwa Azam
Azam watakuwa wameshukuru sana hilo dili maana wametoka kumuuza juzi tu Kipre Jr akiwa form kabisa kwa 350mil halafu leo wanaona kuna timu inajichanganya kuvunja mkataba wa Dube ili walipe mil 500 daah
 
Debit nini na credit nini?
 
dube after signing his new contract alipewa 100k usd na azam then yanga wamempa 100k usd. total 200k kawa lipa azam. Acha kukaza kichwa yanga awaja lipa hiyo pesa yote.

misinformation hii
Hata fei aliondoka yanga baada ya kuilipa yanga 112M basi.
 
"Uzuri wa huu mchezo
unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani
kifaa nani garasa. "

MWASIBU
 
jidanganye
 
Ngumu kupata minara 5 na 7. Shida ya vitimu vyetu hivi vitakamia vijikusanye nyuma ili visifungwe magoli mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…