Kihasibu:Yanga Kumnunua Prince Dube kwa 520M ni hasara.

Aisee.
 
Mpaka Sasa kwenye NBC primier League

Mechi 3

Goal 0
Assist 0

Huyu si mgeni wa Ligi Wazee huu ni mwaka wa 5 yupo kwenye ligi hii
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
 
Kuna vitu hushangaza sana. Yaani mchezaji hata anapotoka ni zero performance lakini bado umekaza magego kumsajili
 
Wasije sema hatukuwaambia hawa ndugu zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…