Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

hayo mapato mengine ya 5.49b ni yepi?
au ndio pesa za gsm na matajiri wengine kina samia?
 
Gharama za kifedha na compliance wanamaanisha nini? Janja janja tu
 


kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4

kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3

Wanaopata milioni 25 wawili
Wanaopata milioni 20 wawili
Wanaopata milioni 15 watatu
Wanaopata milioni 10 sita
Hao wengine wanaobaki fanya milioni 5

Kwa makadirio ya juu, mishahara ya yanga princes na timu ya vijana milioni 400

Kwa makadirio ya juu, mishsahara ya benchi la ufundi timu zote milioni 700

Mishahara ya kina Ally kamwe, Priva, Abdul. Graphics desiners, wapishi, wafagizi, n.k. kwa makadirio milioni 500

Mishahara ya wahasibu, mameneja, wanasheria, kwa makadirio bilioni 1

Jumla ni BILIONI 5.3
1718108793112.png

Kwa matumizi haya halafu mtu kala mihogo yake huko anasema hatumtaki Moh, hatumtaki GSM, tuachieni team yetu!PUMBAF KABISA!Mnadhani kuendesha team ni matako kila mtu anayo!shenzi kabisaa!
 
Back
Top Bottom