britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Ni swali or future sentense?Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?
Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??
Ni swali tu
Na iwe hivyoJe inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?
Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??
Ni swali tu
Mwigulu hawezi kuwekwa kando hata iweje.Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?
Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??
Ni swali tu
Itapendeza zaidiJe inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?
Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??
Ni swali tu
Mzee wa kibendera baada ya kusoma huu uzi fasta kampigia simu mganga wake.Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?
Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??
Ni swali tu
Uko moto sana britanicca . Naomba hilo PDF liwe kama ulivyoandika. Mwigulu ni chenga chengaJe inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?
Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??
Ni swali tu
Duh huu mkeka unaenda tiki tena. Ngoja nikope kausha damu niweke million.Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?
Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??
Ni swali tu
Kumbuka Mkenda ni mchaga. Hilo tu ndo litamwaribia. Kimei asingekuwa mchaga leo angekuwa waziri wa fedha na uchumi. CCM hadi leo wanajuta kumpa Basil uwaziri wa fedha wanadai alijaza sana wateule wayahudi wa Tanzania TRA.Je inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri’s wa Elimu?
Alafu mwigulu akawekwa pembeni ili adolfu Mkenda akawa wa fedha ??
Ni swali tu
Jamaa alisema nape na makamba watatenguliwa. Watu wengi walibisha ila ndio hivyoMwigulu hawezi kuwekwa kando hata iweje.
Huko kwa Kihenzile lolote lawezekana.
Wee mkaldayo acha porojo jamvin zingatia usalama wa mbusii hapo malishoni.Duh huu mkeka unaenda tiki tena. Ngoja nikope kausha damu niweke million.