darcity JF-Expert Member Joined Jul 20, 2009 Posts 9,101 Reaction score 18,055 Jul 26, 2024 #141 The Mongolian Savage said: Kumbuka Mkenda ni mchaga. Hilo tu ndo litamwaribia. Kimei asingekuwa mchaga leo angekuwa waziri wa fedha na uchumi. CCM hadi leo wanajuta kumpa Basil uwaziri wa fedha wanadai alijaza sana wateule wayahudi wa Tanzania TRA. darcity Accumen Mo johnthebaptist Etwege Click to expand... Ajabu, akasahau kuwaweka wa familia yake!
The Mongolian Savage said: Kumbuka Mkenda ni mchaga. Hilo tu ndo litamwaribia. Kimei asingekuwa mchaga leo angekuwa waziri wa fedha na uchumi. CCM hadi leo wanajuta kumpa Basil uwaziri wa fedha wanadai alijaza sana wateule wayahudi wa Tanzania TRA. darcity Accumen Mo johnthebaptist Etwege Click to expand... Ajabu, akasahau kuwaweka wa familia yake!
The Mongolian Savage JF-Expert Member Joined Jul 5, 2018 Posts 8,082 Reaction score 17,838 Jul 26, 2024 #142 darcity said: Ajabu, akasahau kuwaweka wa familia yake! Click to expand... Tulia weweee
britanicca JF-Expert Member Joined May 20, 2015 Posts 16,295 Reaction score 33,994 Aug 11, 2024 Thread starter #143 Nam Makojo said: Na iwe hivyo Click to expand...
K Kimalingano JF-Expert Member Joined Mar 27, 2023 Posts 709 Reaction score 919 Aug 11, 2024 #144 britanicca said: Je, inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri wa Elimu? Alafu Mwigulu akawekwa pembeni ili Adolfu Mkenda akawa wa fedha? Ni swali tu Click to expand... Mheshimiwa Mkenda anafaa kabisa kuwa Waziri wa Fedha.Ni muadilifu na mwenye msimamo hasa.
britanicca said: Je, inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri wa Elimu? Alafu Mwigulu akawekwa pembeni ili Adolfu Mkenda akawa wa fedha? Ni swali tu Click to expand... Mheshimiwa Mkenda anafaa kabisa kuwa Waziri wa Fedha.Ni muadilifu na mwenye msimamo hasa.
Afcon 2027 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 309 Reaction score 579 Aug 11, 2024 #145 britanicca ni kweli Mkenda atachukua nafasi ya Zakayo mrefu???
Emanueli misalaba JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 1,769 Reaction score 2,523 Aug 11, 2024 #146 Afcon 2027 said: britanicca ni kweli Mkenda atachukua nafasi ya Zakayo mrefu??? Click to expand... Naona saa nyingine sijui ni bahati na muda?mbunge wa Vunjo kuwa waziri wa fedha ana fit yule
Afcon 2027 said: britanicca ni kweli Mkenda atachukua nafasi ya Zakayo mrefu??? Click to expand... Naona saa nyingine sijui ni bahati na muda?mbunge wa Vunjo kuwa waziri wa fedha ana fit yule
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Aug 12, 2024 #147 britanicca said: Alafu Mwigulu akawekwa pembeni ili Adolfu Mkenda akawa wa fedha? Click to expand... Huyu mtu aondoke tu kwani amejaa dharau, kebehi na majivuno kutokana na ukwasi alio nao
britanicca said: Alafu Mwigulu akawekwa pembeni ili Adolfu Mkenda akawa wa fedha? Click to expand... Huyu mtu aondoke tu kwani amejaa dharau, kebehi na majivuno kutokana na ukwasi alio nao