Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Kwani wao CHADEMA wameomba maridhiano?Mbona tunapotezeana muda kwa sentensi moja kila wakati/monotonous hivyo? CCM mje na vibe jipya sasa!"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Achanana na wahisani kwanza. Hao CCM wanataka maridhiano kuhusu nini?Wahisani wametushika pabaya sanaa.Tujifunze kujitegemea.Tukiacha ulafi tutafika.Ila tukiendelee kumpuuza CAG hatufiki.
Wanajua sana .ni kiburi cha kufa na ukaidi wa kukata roho..CCM hawaeleweki kabisa... Wao walikaa na vyama kadhaa huko wakajadiliana mambo yao wakasema CHADEMA si lazima wawepo... Kimetokea nini tena?
Hivi CCM hawajui kuwa ile kesi mahakamani ni ya mchongo?
Nilijua tu... Atatenga muda kujibizana na Heche!"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Kihongosi maridhiano fanyeni na mamluki wenu mlioenda nao kwenye uchaguzi wenu fake."Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
si muende kwenye maridhiano na vyama vile vingine 18 CCM B mtuache sie kwanza tukinukishe Mahakamani hadi KATUGA aita maji mma"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Apuuzwe"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Anaongea kama amekatwa kichwa"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi mahakamani ameshtakiwa kwa mujibu wa Sheria za nchi na hakuna mtu ambaye yupo juu ya sheria.
"Namshauri waje kwenye maridhiano. Na kama suala Tundu Lissu atoke mahakama itatoa hukumu kadri itakavyoona ana makosa au hana. Chama ni taasisi sio mtu waje kwenye maridhiano"- Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi wa Siasa na Itikadi CCM
Hayo maridhiano a.k.a utapeli utasimamiwa na ccm, na yatakuwa ni maridhiano ya kumpa Samia uhalali wa kukaa madarakani, kisha 2030 wanapora tena uchaguzi, halafu yanaitishwa tena maridhiano mengine.Nilijua tu... Atatenga muda kujibizana na Heche!
Hivi ccm wanataka maridhiano ya nini? Kwa ajili ya nani? Ili iweje?
Na hayo maridhiano yanaitishwa na nani? Lini? Wapi? Akina nani na nani wanahusika? Akina nani hawahusiki?
Mbona anapayuka na kurukaruka sana huyiu dogo"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!