PostGE2025 Kihongosi: Maridhiano bila Tundu Lissu inawezekana, CHADEMA njooni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huyu ni mpumbavu walioua watu October 29 walichukuliwa hatua gani?
 
Maridhiano ya nin na mlipita kwa 99%?
Lini chadema imeomba hayo maridhiano?
Maridhiano ya kukaa na vyama hewa mnapanga yenu eti maridhiano?
Mkapambana mnaifuta chadema mkashndwa hadi wa leo ndo mnakumbuka ni taasisi kwani mlikuwa hamjui tangu mwanzo?
Ccm ombeni wananchi msamaha kwa mlichokifanya acheni kuruka majoka, msione wananchi wametulia mkawaona wajinga, najua hawana la kuwafanya maana hamchelewi kutupiga za vichwa lakin kumbuka damu ya mtu haiendi bure. Sasa hivi mnajipga vifua lakin maaskari mliowatumia wamefuatwa na laana kila kukicha. Mfano mmoja kuna afande sasa hv analala mtaroni kisa ulevi na alikuwa hatumii pombe. Ccm nyie jitapeni kadri mnavyoweza lakin mjue hayo maovu yenu ipo cku mtaumbuka. Leo cjanywa konyagi.
 
Hayo maridhiano a.k.a utapeli utasimamiwa na ccm, na yatakuwa ni maridhiano ya kumpa Samia uhalali wa kukaa madarakani, kisha 2030 wanapora tena uchaguzi, halafu yanaitishwa tena maridhiano mengine.
Sijui ni lini WaTanganyika watajitoa muhanga kusimamia mambo ya msingi kama wanayojitoa kufuatilia unyoofu kwenye masuala ya Simba na Yanga!
 
ccm ni genge lla wahuni! Majambazi... Matapeli! Mashetani! Wapo tayari kufanya chochote ili wabaki walipo!
 
Sijui ni lini WaTanganyika watajitoa muhanga kusimamia mambo ya msingi kama wanayojitoa kufuatilia unyoofu kwenye masuala ya Simba na Yanga!
Simba na Yanga mkuu watu hawajitoi muhanga, bali ni hisia tu za kishabiki.
 
Huyu yupo mzima kweli?
Kweli mwenye shibe hamkumbuki mwenye njaa.

Hakuna Chadema mwenye akili timamu ataenda kurudhiana wakati mwenyekiti wao wanamtesa Gerezani mwaka mzima.
 
Hata bila CHADEMA yanawezekana,kwani kuna vyama vingapi vya siasa nchi hii?
 
Hata bila CHADEMA yanawezekana,kwani kuna vyama vingapi vya siasa nchi hii?
 
Nyie ccm hamna akili wote kama mnajua bila chadema au lisu mnaweza kufanya maridhiano simfanye mnatupigia kelele TU . Hakuna haja ya kupiga kelele iteni wapinzani uchwara mfanye basi. Hamna akili kweli yani
 
Mwacheni ajifunze siasa kwa Wana siasa hajui anatamani kuijua siasa
 
Huyu hata kaa yake inaonekana ashatolewa marinda na wazee wa lumumba
 
Hii ni taarifa kuwa mahakama ina maelekezo tayari. Watu wajiandae kisaikilojia
 
CCM hawaeleweki kabisa... Wao walikaa na vyama kadhaa huko wakajadiliana mambo yao wakasema CHADEMA si lazima wawepo... Kimetokea nini tena?

Hivi CCM hawajui kuwa ile kesi mahakamani ni ya mchongo?
Ccm hawataki maridhiano, hayo ni maigizo tu.
 
Hebu waseme kwanza waliwakosea nini hao wananchi wote.

Huwezi kusema unaenda kwenye maridhiano bila kujua mkosaji na aliyekosewa ni nani?

Na kwanini hii nguvu ya kusukuma maridhiano haikutumika mwaka jana watu walipoomba ?
Polepole alishahitimisha hili "Maridhiano baada ya Uchaguzi ni utapeli na hadaa"....

Mungu amrehemu...
 
Nendeni kwenye maridhiano sio lazima CHADEMA wawepo, maana hata yale makubaliano mliyoingia kabla ya uchaguzi hawakuwepo kwa hiyo endeleeni tu
Ukiona wanagusiwa hapa ujue bila wao mambo hayataeleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…