Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
Uzi ulitakiwa ufungiwe hapaHuyu jamaa atakuwa shoga. Umekiona hicho kitabu?
Kujua kiingereza Ni kitu kingine na kuwa na uelewa Ni kitu kingine kabisa. Mnakumbuka lile sakata la yule Prof wa geology alivyodhalilika kule kwenye tribunal? Kiingereza anakimanya Ila kujua aseme Nini na wakati gani ndio Prof alikua na ulemavu mpaka taifa likalipa mabilioni kwa sababu ya kuwaamini ma Prof wa michongo.Tupo watanzania tunaojua kiingereza safi, ila sasa kwenye mambo kama hayo hutukuti. Ni kama Mungu kapanga taifa zima lionekane hatujui Lugha ya pili.
Ila sio mbaya sana
Sasa aibu inatokana wapi? kushindwa kusoma kingereza sio aibu. kwani Kuna wazungu wagapi hawawezi kusoma kiswahili? Mbona wao hamuwasemi kwa kushindwa kiswahili?Tuache visingizio kukwepa fedheha,
Naomba turudi pale pale kwenye mhadala mkuu kwamba kwanini watu wamezusha kitabu kinahusu ushoga bila kuelewa kilichoanfikwa ?
Hii mbAya sana asee
...kwa kweli sijaelewa.Hivyo hivyo ulivyo elewa.
Anazingua sana huyu jamaa! Halafu sasaivi ndio anasema kuwa alikosea na anaomba radhi.Mkuu chini hapo mbona haujaweka signature yako ya job true true? Itakuwa umechukizwa kweli na uzi.
Neno 'pride' likiambatana na 'pink' na kutia rangi nywele,hapo ni uchoko mkuuTuache visingizio kukwepa fedheha,
Naomba turudi pale pale kwenye mhadala mkuu kwamba kwanini watu wamezusha kitabu kinahusu ushoga bila kuelewa kilichoanfikwa ?