Kiingereza kimetuaibisha tena, Mzungu kugawa vitabu kwa watoto na kuzushiwa vitabu havifai bila kuelewa kilichoandikwa ni fedheha na aibu kwa taifa

Kiingereza kimetuaibisha tena, Mzungu kugawa vitabu kwa watoto na kuzushiwa vitabu havifai bila kuelewa kilichoandikwa ni fedheha na aibu kwa taifa

Mleta mada ukute ni mzungu wa Mabala the farmer, mzee Richard Mabala
 
Tupo watanzania tunaojua kiingereza safi, ila sasa kwenye mambo kama hayo hutukuti. Ni kama Mungu kapanga taifa zima lionekane hatujui Lugha ya pili.

Ila sio mbaya sana
Kujua kiingereza Ni kitu kingine na kuwa na uelewa Ni kitu kingine kabisa. Mnakumbuka lile sakata la yule Prof wa geology alivyodhalilika kule kwenye tribunal? Kiingereza anakimanya Ila kujua aseme Nini na wakati gani ndio Prof alikua na ulemavu mpaka taifa likalipa mabilioni kwa sababu ya kuwaamini ma Prof wa michongo.
 
Tuache visingizio kukwepa fedheha,

Naomba turudi pale pale kwenye mhadala mkuu kwamba kwanini watu wamezusha kitabu kinahusu ushoga bila kuelewa kilichoanfikwa ?
Sasa aibu inatokana wapi? kushindwa kusoma kingereza sio aibu. kwani Kuna wazungu wagapi hawawezi kusoma kiswahili? Mbona wao hamuwasemi kwa kushindwa kiswahili?
 
Mkuu chini hapo mbona haujaweka signature yako ya job true true? Itakuwa umechukizwa kweli na uzi.
Anazingua sana huyu jamaa! Halafu sasaivi ndio anasema kuwa alikosea na anaomba radhi.

Screenshot_20240201-102105.jpg
 
Tuache visingizio kukwepa fedheha,

Naomba turudi pale pale kwenye mhadala mkuu kwamba kwanini watu wamezusha kitabu kinahusu ushoga bila kuelewa kilichoanfikwa ?
Neno 'pride' likiambatana na 'pink' na kutia rangi nywele,hapo ni uchoko mkuu
 
Back
Top Bottom