Kiini cha Falsafa, dini za Uislamu na Ukristu ni Afrika

Mkuu,
Hizo amri za wayahudi zilikua zaidi ya kumi!
Vile vile, hamna ushahidi wa kutosha kihistoria unaoonyesha kwamba Musa alikuwepo...
Hili swala linachunguzwa kwa kina sana na wanahistoria ya biblia na torati.
 
Prove the words in red to me.

NOTE: Sina muda na assumptions.
 
Mkuu,
Hizo amri za wayahudi zilikua zaidi ya kumi!
Vile vile, hamna ushahidi wa kutosha kihistoria unaoonyesha kwamba Musa alikuwepo...
Hili swala linachunguzwa kwa kina sana na wanahistoria ya biblia na torati.
Historical facts according to who?

How did I know this: Moses was born on 7 Adar in the year 2368 from Creation (circa 1400 BC), the son of Amram, a member of the tribe of Levi, and Yocheved, Levi's daughter.
 
Mwambie huyo jamaa yako alete uthibitisho. Vain words sio hoja.

Sasa thibitisha kuwa hkuna Mungu.

SINA MUDA NA diabolical assumptions. ONLY impeccable and verifiable evidences ndio nitakubali. In-fact, those evidences must be provable, to wit
 
Mkuu,
Hizo amri za wayahudi zilikua zaidi ya kumi!
Vile vile, hamna ushahidi wa kutosha kihistoria unaoonyesha kwamba Musa alikuwepo...
Hili swala linachunguzwa kwa kina sana na wanahistoria ya biblia na torati.
Hizo amri zaidi ya kumi zilitoka wapi?
 
Msingi wa Ukristo upo katika Agano Jipya na sio la Kale. Zaidi ya hapo Ukristu sio dini bali ni ufuasi wa Mungu. Msingi Mkuu wa Ukristo ni Yesu Kristo ambaye ni Mungu Mkuu.

Zaidi ya hapo, msingi wa Uislam haupo kwenye Agano la Kale. Kwenye Uislam hakuna 10 Commandments. Kwenye Uislam hakuna Mungu bali Allah ambaye ni Mpinga Mungu.
 
Hebu tupe hiyo definition ya Mungu wa Wakristo na tuonyeshe wapi ilipo katika Vitabu vya Wakaristo, ili usaidie madai yako.

Kumbuka, unapo sema kuwa unauhakika, maana yake kuwa, unauwezo wa kutupa ushahidi ambao ni verifiable and provable, inter-alia, testable and repeatable exhibits.

I am awaiting for your impeccable reply.
 
Hehehehe! Duh!
 
Hivi kama kuna kesi ya wizi mahakamani kwa mfano, hakimu atahitaji ushahidi kuwa mtuhumiwa ameiba, au atahitaji ushahidi kama mtuhumiwa hajaiba?

Wewe unaesema kuna Mungu ndiyo unatakiwa kuleta ushahidi, and not otherwise, you have been told this a milion times now!!
Mwambie huyo jamaa yako alete uthibitisho. Vain words sio hoja.

Sasa thibitisha kuwa hkuna Mungu.

SINA MUDA NA diabolical assumptions. ONLY impeccable and verifiable evidences ndio nitakubali. In-fact, those evidences must be provable, to wit
 
Nimependa ile sentensi kwamba " Msingi mkuu wa ukristo ni yesu kristo ambaye ni Mungu mkuu" I wanted to reverse my comments lakini nimeshindwa, naomba kuuliza, kwa hiyo pia kuna "Mungu mdogo"?
 
Hehehehe! Duh!
Kutokana na hii post, nimeelewa kuwa you have decided to reserve your comments, mimi nimeshindwa nimeamua kuuliza swali, Nkwesa Makambo yeye amesema ukiweza tu kugundua mtu alitaka kusema nini wewe tayari ni Mungu!!
 
Last edited by a moderator:
Nimependa ile sentensi kwamba " Msingi mkuu wa ukristo ni yesu kristo ambaye ni Mungu mkuu" I wanted to reverse my comments lakini nimeshindwa, naomba kuuliza, kwa hiyo pia kuna "Mungu mdogo"?
Allah ni mungu mdogo.

Yesu, " Mungu Mkuu na Mwokozi" (Tito 2:13)
 
Kwahiyo wewe na jamaa yako hamuwezi kuthibisha wala kusaidia madai yenu kuwa hakuna Mungu. Am I correct?
 
Allah ni mungu mdogo.

Yesu, " Mungu Mkuu na Mwokozi" (Tito 2:13)
I see!!
Kwa hiyo Allah ni Mungu, ila ni Mungu mdogo, Yesu ndio Mungu mkuu!!

Unaposema Allah ni Mungu mdogo na Yesu ni mkuu, unamaanisha kuwa Allah ni msaidizi wa Yesu au?
 
Ushahidi wa pande zote wahitajika,hata Kama ni Ku prove alibi
 
I see!!
Kwa hiyo Allah ni Mungu, ila ni Mungu mdogo, Yesu ndio Mungu mkuu!!

Unaposema Allah ni Mungu mdogo na Yesu ni mkuu, unamaanisha kuwa Allah ni msaidizi wa Yesu au?
Angalia kwenye jibu langu, Allah anatumia small letter "m", ikimaanisha Allah sio mali kitu. Hakuumba wala sio Mungu Mkuu.

QURAN 92 1-3
1. Naapa kwa usiku ufunikapo, 2 kwa mchana uingiapo, 3. na kwa aliye umba kiume na kike..

Hivi mtu anaye apa kwa mwengine anakuwa Mungu au binadamu? Je, nani kaumba hapo. Maana Allah anaapa katika aliye umba, na kuumba ni sifa ya Mungu. Kumbe Allah hakuumba. Kumbe Allah sio Mungu.

Je, ni nani huyu aliye umba Kiume na Kike ambaye Allah wa Islam anaapa kwake?
 
Ushahidi wa pande zote wahitajika,hata Kama ni Ku prove alibi
Safi kabisa:

1. Mshitaki anakuja na ushahidi wake kuwa "fulani" kaiba, na hiyo ndio kazi ya Prosecutors.
2. Mshitakiwa na yeye anakuja na ushaidi wake kuwa yeye hakuimba. Anaweza saidiwa na defense Attorney.

Mimi nawauliza washitaki wa Mungu jambo dogo tu.

Watuletee ushahidi kuwa hakuna Mungu. Yaani imekuwa kama vile nimeuliza swali la kutengeneza Roketi.
 
Kutokana na hii post, nimeelewa kuwa you have decided to reserve your comments, mimi nimeshindwa nimeamua kuuliza swali, Nkwesa Makambo yeye amesema ukiweza tu kugundua mtu alitaka kusema nini wewe tayari ni Mungu!!

Ndugu yangu, ukiandika "Nilijua uta..." Una maanisha ulikuwa unajua kile MTU alikuwa bado anakipika kichwani mwake.
Kama hukujua kosa la andiko lako pole sana . Kama ungekuwa mwelewa ungefuta "nilijua ..." "Nilihisi..." Au neno jingine sawa na hisia na sio ujuzi.
 
Last edited by a moderator:

Hupati jibu toka kwa waislam milele,Sana Sana subiri picha za mashoga Kama kujibu hilo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…