Kijana acha kujiita jobless, chukua hii achana na ubishoo

Unamaanisha unamtaka mke mwenye mpunga?
No hao wadada wapo smart sana wanavutia sana kuna mmoja nilimuonaga ni anadeka sana mimi mwanamke anae jua kudaka af awe na mapozi πŸ™ŒπŸ™Œ hakuna kitu anaweza sema mm nikapinga
 
Ofisini Kwa rafiki yangu kuna dada anauza hii product hata saa 6 hazifiki zimeisha,yeye kafunga kishkaji tu ila mchanyato ni sawa zinakimbia mno kwakuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…