Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah location mzuri pale wanapo uza maua st peter pale hakunaga vitafunwa kabisa ukipita nazo pale unauza chap kwa harakaNimejaribu kupiga hesabu ya mahitaji. nimepata Mtaji ni n Tsh. 11,800/= nikiuza mia 5 napata 25000/= hiyo ni kwa kilo. sasa hapo mchawi soko.
but mi nauza jumla kuanzia 300, 350 hadi 400 inategemea na idadi anayohitajjika.
Matured👊👊Wazi mkuu
Kwa hili nakuapia sihusikiWewe nakujua unautundu
Haya narelaxKwa hili nakuapia sihusiki
sipo dar. mi nazizungusha dom na moro. ila niko njiani kuja huko kutafuta machine yakunirahisishia.Yah location mzuri pale wanapo uza maua st peter pale hakunaga vitafunwa kabisa ukipita nazo pale unauza chap kwa haraka
Imekaa poa!Nimejaribu kupiga hesabu ya mahitaji. nimepata Mtaji ni n Tsh. 11,800/= nikiuza mia 5 napata 25000/= hiyo ni kwa kilo. sasa hapo mchawi soko.
but mi nauza jumla kuanzia 300, 350 hadi 400 inategemea na idadi anayohitajjika.
Ulichokifanya kinaitwa "showing up". Ulijidhihirisha na ukakutana na fursa. Success happens when preparedness meets opportunity. BarikiwaKijana mimi leo nakupa connection hii hakuna mtu jf hapa ata kuja kukupa hii conenction kabisa nakwambia acha ubishoo tafuta chako si vyema kujiita jobless vyeti weka pembeni fanya hii kitu
Mahitaji karanga, mayai,siagi/blueband,sukari na chumvi
Kwanza changanya blueband na sukari
View attachment 3231910
Kisha chukua mayai nayo changanya vizur mimi nilitumia mayai 2
View attachment 3231911
Baada ya hapo weka unga kidogo kweny karanga af uwe unachanganya polepole
View attachment 3231913
Baada ya hapo weka ule mchanganyiko wako wa mayai pole pole kidogo kidogo na ukologe
View attachment 3231914
Ukiona karanga na unga zimeanza kukaa pamoja malizia mchanganyiko wako kuweka wote
View attachment 3231916
Kisha weka kwenye mafuta ambayo yamepata moto polepole kwa wewe ambae sio mzoefu kuepuka karanga zako kuungua ukisikia zinaanza kulia pa pa jua teyari geuza geuza ili ziwe na rangi moja kisha toa
View attachment 3231918
Kisha weka kwenye chombo kikavu na zipoe vizuri
View attachment 3231919
Kwakua wewe unataka kuuza tafuta vifungashio vile vya kishua weka nenda nazo pale St peter wanapo uza maua ukiona mtu kasimamisha gari ana chagua mau nenda na karanga zako pale muoneshe uza ata 1500 kwasababu karanga yako imeenda shule watanunua na utaona kama kuna shida ya ajira au
Mimi pia nimesoma ila ubishoo nileweka pembeni nipo hapa kwasababu ya upishi tu elimu yangu nilio somea natumia mala chache sana wakati wenzangu wanaonyesha vyeti vya elimu mimi nilishow kipaji basi
Watu walipelekwa zahanati wengine ofisi kuu ila mm nilishow kipaji na baadae walikuja kujua kuwa na elimu baada ya kutokea mgonjwa alie poteza kumbu kumbu kumbe kuna mtu alisema yeye kasomea psychology kumbe sio kweli alisomea kwa upande wa elimu
Pale nika waonyesha vyeti nikamtibu yule kama huduma ya kwanza baada ya wiki nikatoa wazo apelekwe lugalo kwa matibabu zaidi
Nini nataka kusema acheni aibu mimi wakati nafanya iki kitu wengi walikebehi na kuniambia kazi za kike ila leo Mungu kaniona kwanafasi yangu 🤲
Uko maeneo mimi sio mzoefusipo dar. mi nazizungusha dom na moro. ila niko njiani kuja huko kutafuta machine yakunirahisishia.
Wazi mkuuUlichokifanya kinaitwa "showing up". Ulijidhihirisha na ukakutana na fursa. Success happens when preparedness meets opportunity. Barikiwa
Mke wako atapata raha sanaa.View attachment 3234670
ephen_ Fake P Half american si kama hivi ndizi na mtindi parachichi karibuni bhna
View attachment 3234670
ephen_ Fake P Half american si kama hivi ndizi na mtindi parachichi karibuni bhna
Hizi ni ndizi Gani. Nyie watu wa mjini kila ndizi mnaipika 🤣View attachment 3234670
ephen_ Fake P Half american si kama hivi ndizi na mtindi parachichi karibuni bhna
Bachelor Sugu huyooMke wako atapata raha sanaa.
Zaidi akijifunguaMke wako atapata raha sanaa.
Mshale 😂Hizi ni ndizi Gani. Nyie watu wa mjini kila ndizi mnaipika 🤣
Nikimpata raia chap asiwe nesi wala mwalimu labda TPA au TRABachelor Sugu huyoo
Ww tafuta ka SG Mmoja umalizane nae jumla.🤣🤣Nikimpata raia chap asiwe nesi wala mwalimu labda TPA au TRA