Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #41
Kwangu wala sijaumia kila mtu ana chaguo lakeUkweli mchungu, polee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu wala sijaumia kila mtu ana chaguo lakeUkweli mchungu, polee
Kauze karangaKwangu wala sijaumia kila mtu ana chaguo lake
InshallahUnajua kuzoom siku uje upige picha na punda milia wapo wengi jioni
Usijionee huruma . Shauri yakoOver dozi 😂
Karibu sna utojuta kufika now wanyama wengi hawapo kwasababu ya mvua ujificha ila nyoka ndio wengi na nyati kwasababu ya vichakaInshallah
Wazi mkuuKauze karanga
Poa poaWazi mkuu
Ana wivu wa kinyegereDuuh ustawi kwani Ina tatizo gani mkuu....
Kwanza naomba uni onyeshe ni wapi tume lia Lia kisa ajira??.Haya, Rais wa majobless Tanzania nzima ndugu Intelligent businessman na makatibu wako wakuu, waweka hazina pamoja na wajumbe wako mje huku sasa.
Acheni kulia lia kuwa ajira hakuna.
Cc:
bro unataka kusema umesomea psychology?Watu walipelekwa zahanati wengine ofisi kuu ila mm nilishow kipaji na baadae walikuja kujua kuwa na elimu baada ya kutokea mgonjwa alie poteza kumbu kumbu kumbe kuna mtu alisema yeye kasomea psychology kumbe sio kweli alisomea kwa upande wa elimu
Pale nika waonyesha vyeti nikamtibu yule kama huduma ya kwanza baada ya wiki nikatoa wazo apelekwe lugalo kwa matibabu zaidi
😂😂 mkuu hapana mapishi bhnabro unataka kusema umesomea psychology?
Maisha ya chuo n sawa na mtu aliyeko usingizini, ukimwambia kijana wa chuo aanze kufanya biashara yeyote hapo chuoni hata yakuuza karanga atakujibuWanataka connection ya kuvaa suti
sijapika hii kitu siku nyingi ngoja jmos nipike tena. asante kwa kunikumbushaKijana mimi leo nakupa connection hii hakuna mtu jf hapa ata kuja kukupa hii conenction kabisa nakwambia acha ubishoo tafuta chako si vyema kujiita jobless vyeti weka pembeni fanya hii kitu
Mahitaji karanga, mayai,siagi/blueband,sukari na chumvi
Kwanza changanya blueband na sukari
View attachment 3231910
Kisha chukua mayai nayo changanya vizur mimi nilitumia mayai 2
View attachment 3231911
Baada ya hapo weka unga kidogo kweny karanga af uwe unachanganya polepole
View attachment 3231913
Baada ya hapo weka ule mchanganyiko wako wa mayai pole pole kidogo kidogo na ukologe
View attachment 3231914
Ukiona karanga na unga zimeanza kukaa pamoja malizia mchanganyiko wako kuweka wote
View attachment 3231916
Kisha weka kwenye mafuta ambayo yamepata moto polepole kwa wewe ambae sio mzoefu kuepuka karanga zako kuungua ukisikia zinaanza kulia pa pa jua teyari geuza geuza ili ziwe na rangi moja kisha toa
View attachment 3231918
Kisha weka kwenye chombo kikavu na zipoe vizuri
View attachment 3231919
Kwakua wewe unataka kuuza tafuta vifungashio vile vya kishua weka nenda nazo pale St peter wanapo uza maua ukiona mtu kasimamisha gari ana chagua mau nenda na karanga zako pale muoneshe uza ata 1500 kwasababu karanga yako imeenda shule watanunua na utaona kama kuna shida ya ajira au
Mimi pia nimesoma ila ubishoo nileweka pembeni nipo hapa kwasababu ya upishi tu elimu yangu nilio somea natumia mala chache sana wakati wenzangu wanaonyesha vyeti vya elimu mimi nilishow kipaji basi
Watu walipelekwa zahanati wengine ofisi kuu ila mm nilishow kipaji na baadae walikuja kujua kuwa na elimu baada ya kutokea mgonjwa alie poteza kumbu kumbu kumbe kuna mtu alisema yeye kasomea psychology kumbe sio kweli alisomea kwa upande wa elimu
Pale nika waonyesha vyeti nikamtibu yule kama huduma ya kwanza baada ya wiki nikatoa wazo apelekwe lugalo kwa matibabu zaidi
Nini nataka kusema acheni aibu mimi wakati nafanya iki kitu wengi walikebehi na kuniambia kazi za kike ila leo Mungu kaniona kwanafasi yangu 🤲
weka mawiliKaranga 1/2 niweke mayai mangapi?
Mwachiluwi
Asanteweka mawili
KaribuAsante
🙏sijapika hii kitu siku nyingi ngoja jmos nipike tena. asante kwa kunikumbusha