Kijana acha kujiita jobless, chukua hii achana na ubishoo

Kijana acha kujiita jobless, chukua hii achana na ubishoo

Haya, Rais wa majobless Tanzania nzima ndugu Intelligent businessman na makatibu wako wakuu, waweka hazina pamoja na wajumbe wako mje huku sasa.
Acheni kulia lia kuwa ajira hakuna.
Cc:
Kwanza naomba uni onyeshe ni wapi tume lia Lia kisa ajira??.

Halafu huyu hastahili jibu langu, kataka ku trend kupitia chama Cha ma jobless pro max tu.

Mimi Intelligent businessman ni raisi wa chama cha ma jobless pro max, makamu ni Bolotoba,
katibu ni min -me, wakili wa ma jobless ni Selikavu, waziri wa mambo ya ndani Thecoder, msajili wa chama Cha ma jobless ni dosho12, mratibu wa mipango ni Edo kissy

Msemaji wa chama Cha ma jobless pro max ni makutupora

Kidumu chama Cha ma jobless pro max
OIG4 (1).jpeg
 
Watu walipelekwa zahanati wengine ofisi kuu ila mm nilishow kipaji na baadae walikuja kujua kuwa na elimu baada ya kutokea mgonjwa alie poteza kumbu kumbu kumbe kuna mtu alisema yeye kasomea psychology kumbe sio kweli alisomea kwa upande wa elimu

Pale nika waonyesha vyeti nikamtibu yule kama huduma ya kwanza baada ya wiki nikatoa wazo apelekwe lugalo kwa matibabu zaidi
bro unataka kusema umesomea psychology?
 
Wanataka connection ya kuvaa suti
Maisha ya chuo n sawa na mtu aliyeko usingizini, ukimwambia kijana wa chuo aanze kufanya biashara yeyote hapo chuoni hata yakuuza karanga atakujibu

Bro tulia wewe hujui mchezo ngoja nimalize nikuonyeshe mchezo unavyochezwa. Baada ya mwaka mmoja kumaliza chuo utaona anakuambia bro hivi hapo kazini hatupati hata nafasi kweli
 
Kijana mimi leo nakupa connection hii hakuna mtu jf hapa ata kuja kukupa hii conenction kabisa nakwambia acha ubishoo tafuta chako si vyema kujiita jobless vyeti weka pembeni fanya hii kitu

Mahitaji karanga, mayai,siagi/blueband,sukari na chumvi

Kwanza changanya blueband na sukari

View attachment 3231910
Kisha chukua mayai nayo changanya vizur mimi nilitumia mayai 2

View attachment 3231911
Baada ya hapo weka unga kidogo kweny karanga af uwe unachanganya polepole
View attachment 3231913
Baada ya hapo weka ule mchanganyiko wako wa mayai pole pole kidogo kidogo na ukologe

View attachment 3231914
Ukiona karanga na unga zimeanza kukaa pamoja malizia mchanganyiko wako kuweka wote

View attachment 3231916
Kisha weka kwenye mafuta ambayo yamepata moto polepole kwa wewe ambae sio mzoefu kuepuka karanga zako kuungua ukisikia zinaanza kulia pa pa jua teyari geuza geuza ili ziwe na rangi moja kisha toa
View attachment 3231918
Kisha weka kwenye chombo kikavu na zipoe vizuri

View attachment 3231919
Kwakua wewe unataka kuuza tafuta vifungashio vile vya kishua weka nenda nazo pale St peter wanapo uza maua ukiona mtu kasimamisha gari ana chagua mau nenda na karanga zako pale muoneshe uza ata 1500 kwasababu karanga yako imeenda shule watanunua na utaona kama kuna shida ya ajira au


Mimi pia nimesoma ila ubishoo nileweka pembeni nipo hapa kwasababu ya upishi tu elimu yangu nilio somea natumia mala chache sana wakati wenzangu wanaonyesha vyeti vya elimu mimi nilishow kipaji basi

Watu walipelekwa zahanati wengine ofisi kuu ila mm nilishow kipaji na baadae walikuja kujua kuwa na elimu baada ya kutokea mgonjwa alie poteza kumbu kumbu kumbe kuna mtu alisema yeye kasomea psychology kumbe sio kweli alisomea kwa upande wa elimu

Pale nika waonyesha vyeti nikamtibu yule kama huduma ya kwanza baada ya wiki nikatoa wazo apelekwe lugalo kwa matibabu zaidi

Nini nataka kusema acheni aibu mimi wakati nafanya iki kitu wengi walikebehi na kuniambia kazi za kike ila leo Mungu kaniona kwanafasi yangu 🤲
sijapika hii kitu siku nyingi ngoja jmos nipike tena. asante kwa kunikumbusha
 
Back
Top Bottom