Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.