Kijana ajinyonga, aacha ujumbe mama yake aulizwe

Me nahis kama kuna sababu hivi behind the scene,,mana asingeweza tu kumpakizia mama kifo chake bila sababu
Lazima kuna sababu. Ila kama ni sababu ya aibu au jinai ambayo mama hawezi kuisema haitojulikana iwapo ni muhusika.
 
Hakuna kitu kibaya kama mama yako kua source ya matatizo. Maana huwezi kumchukia wala kumbadirisha. Angalau baba mtaonyeshana umwamba. Baba anaweza kua yoyote ila mama hua ni mmoja pekee, ndio maan hakuna mwanamke aliyesingiziwa mtoto
Hata mama anaweza kuwa wa kusingizia pia kama ilivyo kwa baba katika sura zifuatazo:

Kununua mtoto kwa kuiba, ama kubadilishiwa na manesi wakati wa kujifungua nk nk.

Kwa hiyo figisu za mzazi yupi ni halali kwako, zipo pande zote.
 
Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.
View attachment 2535103
Mleta uzi emb tueleze, baada ya mama'ke kuulizwa kama ujumbe ulivyoagiza, alijibu nini?
 
Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.
View attachment 2535103
Tutaamini vipi kama hii hati ya muandiko ni ya ndugu marehemu?
 
Nahisi kuna kosa kwenye umri,hii nimesikia jioni hii,ni dogo alikuwa bado anasoma
Hapana bana alikua hasomi ni kijana na mishe zake sema alikua na mkono mrefu na alijinyonga asbh maiti imegunduliwa saa6 kasoro mchana na alijinyongea chumba cha nje ambacho kilikua hakikai mtu.
 
Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.
View attachment 2535103
Nilitaka kuuliza hili,hivi kisheria hili lipoje?mama yupo hatiani ?kizazi hichi tuwe makini kuwakemea ni kizazi laini sana kujitundika ni dakika
 
Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.
View attachment 2535103

Chanzo ni kugombezwa tu, imagine watoto wa kizazi hicho walivyo na jaziba kali
 
angalieni pande zote maana kila akiguswa mama dunia yote inamlaumu aliemgusa... watu wanapitia hard situation in deep na hamuwezi kujua alafu unakuta reason ni mama mtu.... yapo mengi mno kuanzia Chuki,Uchawi na visa vingine vingi tu ambavyo mzazi anaweza kuvifanya kwa mtoto vikamuathiri moja kwa moja.
 
Hakuna kitu kibaya kama mama yako kua source ya matatizo. Maana huwezi kumchukia wala kumbadirisha. Angalau baba mtaonyeshana umwamba. Baba anaweza kua yoyote ila mama hua ni mmoja pekee, ndio maan hakuna mwanamke aliyesingiziwa mtoto
Mkuu hii ni hatare sana.
 
Pumbavu huyu, umeamua kufa kufa tu na sio kuachia watu usumbufu.... Mama yako kakuzaa angeamua siangekuflush tu au angekumezea tu ant-pregnancy?

Dunia huwa ina maswali mengi sana magumu lakini hakuna namna unabidi upambane nayo tu mpaka mwenye uhai wake Muumba mwenyezi Mungu aamue kuuchukua.
 
Hakuna kitu kibaya kama mama yako kua source ya matatizo. Maana huwezi kumchukia wala kumbadirisha. Angalau baba mtaonyeshana umwamba. Baba anaweza kua yoyote ila mama hua ni mmoja pekee, ndio maan hakuna mwanamke aliyesingiziwa mtoto
Kwa akili yako hii no wonder uko lonely...Mama anafanywa chochote kile akizingua kama mshua tu...Nenda ukuryani huk uone watu wanavyochapa mama zao viboko.
Yan li mama liniletee mateso kwenye maisha yangu halaf nibaki nalia lia tu tu kisa??eti kanizaa alibeba miezi 9 tumboni!!!upumbavu kabisa huu..uliomba wakuzae!?

Wao kuwa wazazi sio guarantee ya kukuingiza kwenye mateso ya maisha haya..
Huwa natazama akina mama wametupa watoto majalalani...akina baba wana baka watoto wao wa kuwazaa...halaf unawaacha kisa ni wazaz!!

Everybody must pay the price of their misdeeds
 
Hata mama anaweza kuwa wa kusingizia pia kama ilivyo kwa baba katika sura zifuatazo:

Kununua mtoto kwa kuiba, ama kubadilishiwa na manesi wakati wa kujifungua nk nk.

Kwa hiyo figisu za mzazi yupi ni halali kwako, zipo pande zote.
Uko sahihi mkuu..hiv sijui kwann watu wanawachukuliaga mama zao kama malaika!!??
 
Back
Top Bottom