Kijana ajinyonga, aacha ujumbe mama yake aulizwe

Kijana ajinyonga, aacha ujumbe mama yake aulizwe

[emoji3064][emoji24]
JamiiForums2048925001.jpg
 
Dah mama ana mtihani
Mtiani mwepesi, kijana kakosea angeacha sababu yote iliyompelekea kufanya hivyo.

jibu lolote atakalotoa mama kujitetea marehemu hawezi likataa. Hata akisema "nilimkataza tabia ya kuomba omba nikamwambia hizo ni tabia za kike mm sitaki posa" nani atakataa kuwa sivyo ilivyokuwa?
 
Mama kasema huyo alikuwa n vijana wale wa kataa ndoa akamuonya ndo kajinyonga dunia hii 😫😫😫😫
 
Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.
View attachment 2535103
Ushangae aliba utelezi Kwa mama yake
 
Mtiani mwepesi, kijana kakosea angeacha sababu yote iliyompelekea kufanya hivyo.

jibu lolote atakalotoa mama kujitetea marehemu hawezi likataa. Hata akisema "nilimkataza tabia ya kuomba omba nikamwambia hizo ni tabia za kike mm sitaki posa" nani atakataa kuwa sivyo ilivyokuwa?
Ila hili tukio linafikirisha kidogo,
 
Back
Top Bottom