Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
pole Sanaa binti yangu mrembo🎅Duh aiseee kamuachia Mama ake msala mzito
Ni mwamba aliekufa.. au sielewi nn?pole Sanaa binti yangu mrembo🎅
Tamu za numbie [emoji1787]Duh aiseee kamuachia Mama ake msala mzito
hapana hio emoji inani wakilisha Mimi maana nimezeeka halafu Nina midevu.na numbisa ni mjukuu wanguNi mwamba aliekufa.. au sielewi nn?
😀😀Anakuachia balaaHaya mambo haya
Mtu anajitia kitanzi alafu ukutani anaandika jina lako 😳 na kweli pira linakufuata duh
hahahahaNi mwamba aliekufa.. au sielewi nn?
Mama alimnyima hela ya kuendea guest. Mitoto ya siku hizi akili zao ziko visiginoniKijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.
View attachment 2535103