Kijana ajinyonga, aacha ujumbe mama yake aulizwe

Msongo wa maisha ni mkubwa sana.Sijui kasema hivyo kwa mema au mabaya.Ila kamuumiza mama aliyemleta duniani kwa mara nyingine tena.Yesu alisema "MAMA CHUNGA MWANAO,MWANA CHUNGA MAMA YAKO" ~YOHANA 19:26-27. Mwana amekataa kumchunga mama Ameamua ku quit.
 
Sasa Mama anaingiaje? Ukute alimwambia asioe ukoo Fulani.....ujinga mtupu!
Dogo la form two kama sio 3,ilikuwa hivi.
Siku hio ilikuwa hakuna umeme kwao,Dogo akaomba simu kwa mama yake ili akatandike alale,akapewa alipoingia ndani akakaa muda mrefu sana na ile simu,baadae akatoka ikiwa haina chaji kabisa,akaomba tena apewe simu nyingine,ndio mama yake akamwambia acha usumbufu nenda kalale,akaondoka.

Chumba wanacholala analala na dadayake(maelezo ya mama),kwahio baadae dadayake alipoingia ndio akakuta kaka yake kajitundika,akapiga kelele.

Kwahio sijui kosa la mama ni nini hapo?nahisi huyo dogo alicharuana na mpenzi kwenye simu labda(mawazo yangu) ndio maana alikaa na simu muda mrefu.

Hii ni Audio ya mama akielezea kilichotokea,ilirushwa RFA jioni hii.

Labda kama hatujui mengine.
 
Huu ndio tunauita unyama 😃😃😃
 
ulietuma uzi tujuze taarifa kamili lasivyo uzi ni invalid
 
Miaka 30 yupo O level duuh, au wamekosea kuandika umri wa kijana
 
Huyo kauwawa, na hao waliomuua wamemframe huyo mama yake kwa sababu wanazozijua wao, uchunguzi ufanyike
 
Ukute bimkubwa alimnyima ela ya kubetia jamaa akajitoa uhai
Tuzae tu ila ya mbele tumkabidhi yeye alie juu ya vyote!
 
Kamtia kwenye mtihani mkubwa sana
 
Kazi itaanzia pale ambapo mama atasema hakiamungu sijui chochote.

Yaani maisha haya ......
 
Kwa akili ya kawaida hiyo haiingii akilini, uchunguzi ufanyike..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…