Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Ameumaliza mwendo sasa anataka mama atiwe virungu nae achechemeeMmh,, Inasikitisha kwakweli
Mshana nawewe ushapigana vita unataka kuumaliza mwendo?[emoji3064][emoji24]View attachment 2535187
Ufanyike tuKwa akili ya kawaida hiyo haiingii akilini, uchunguzi ufanyike..
Akili za kitoto hizo, kampa mama yake msiba + matesoNahisi kuna kosa kwenye umri,hii nimesikia jioni hii,ni dogo alikuwa bado anasoma
Mtiani mwepesi, kijana kakosea angeacha sababu yote iliyompelekea kufanya hivyo.Dah mama ana mtihani
Hata kamaπEthere is no end of education
Hapana mimi nitaondoka kwa majaliwa ya mola wanguMshana nawewe ushapigana vita unataka kuumaliza mwendo?
Huwez jua aliona nini mbele je kama alihaidiwa connection ππHata kamaπ
Kajiua kimasihara, hasara kwakeHuwez jua aliona nini mbele je kama alihaidiwa connection ππ
Sawa kaka mkubwa. Nikajua unataka kusepa uniachie kilingeHapana mimi nitaondoka kwa majaliwa ya mola wangu
Sio kusaidia ni mtuhumiwa namba mojaIna maana mama atasaidia polisi katika uchunguzi.
Ushangae aliba utelezi Kwa mama yakeKijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.
View attachment 2535103
Hahahah[emoji23]Sawa kaka mkubwa. Nikajua unataka kusepa uniachie kilinge
Ila hili tukio linafikirisha kidogo,Mtiani mwepesi, kijana kakosea angeacha sababu yote iliyompelekea kufanya hivyo.
jibu lolote atakalotoa mama kujitetea marehemu hawezi likataa. Hata akisema "nilimkataza tabia ya kuomba omba nikamwambia hizo ni tabia za kike mm sitaki posa" nani atakataa kuwa sivyo ilivyokuwa?
Punga?Kijana Godson Mbwambo (30) mkazi wa Pasua Matindigani Mjini Moshi amefariki dunia kwa kujinyonga na kuacha ujumbe unaosemekana aliuandika ukutani akieleza sababu za kifo chake wakuulizwa ni mama yake. Mwenyekiti wa Mtaa wa Matindigani, Amosi Chibago ameeleza tukio hilo.
View attachment 2535103