TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

Alitenda tukio wakati dish linayumba
Majirani na rafki zake tulimfahamu vizuri
 
Asante kwa taarifa mkuu. Ninaona wengi wanauliza Mzee alinaswa lini kibao. Ni wazi umeshapita muda mrefu kiasi baadhi ya watu hapa walikuwa hawajazaliwa, au walikuwa wadogo sana.

Poleni kwa msiba hapo mabibo na jamii yote mliguswa na msiba huu
 
Tukio ni la 2009 au 2010 hivi.......
 
Si aliyempiga makofi ni aliyemshambulia rais mwinyi
 
Yule misimamo ya dini ilimharibu, Answari Sunn hata wakati anasoma alikuwa anapenda kupigana sana karate, kuwachukia wasiopenda misimamo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…