TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

TANZIA Kijana aliyempiga makofi Rais Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

Nimewahi kuishi mitaa hiyo kwenye quarters za JWTZ nimecheza mpira hapo Umoja timu yetu Small Boys na wapinzani wetu Mguu Shingoni
Kota zilikuwa za NHC
JWTZ walikuwa waoangaji tu
 
Yes ,NHC waliuza zile nyumba na majority walionunua ni wanajeshi
Now wajeda wastaafu wamefulia wameanza kuziuza kwa raia

Unakumbuka timu kwa bi. cheche walijiita Brazil walikuwa wanaupiga mpira mwingi hadi tukahisi wachawi....
Kuna siku tuliwapiga 5 wakarudisha zote na kipigo juu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Alikuwa na nguvu sana, mwaka 2012 wakati anasoma IFM, pale ocean road alivua nguo zote akaanza kuwaga maji pipa zima. Members wakamfunga kamba wakampeleka muhimbili.

Muda mwingi alikuwa anapenda kucheka cheka. Na kutoa salamu (kukusalimia) mara kwa mara ndani ya siku 1
 
Kama ilivyosemeka humo Youtube,inaonyesha ilikua mwaka 2009, Miaka 10 iliyopita
 
Alikuwa na nguvu sana, mwaka 2012 wakati anasoma IFM, pale ocean road alivua nguo zote akaanza kuwaga maji pipa zima. Members wakamfunga kamba wakampeleka muhimbili.

Muda mwingi alikuwa anapenda kucheka cheka. Na kutoa salamu (kukusalimia) mara kwa mara ndani ya siku 1
Mkuu nadhani IFM alisoma 2007-2009 hakumaliiza dish liliyumba ndipo akatenda tukio

2012 na miaka mingine uliyokiea ukimwona alikuwa tayari chizi na hapo IFM alikuwa anakuja kuzrura
 
Duh!!!
Mkuu nadhani IFM alisoma 2007-2009 hakumaliiza dish liliyumba ndipo akatenda tukio

2012 na miaka mingine uliyokiea ukimwona alikuwa tayari chizi na hapo IFM alikuwa anakuja kuzrura
Sababu hasaa iliyopelekea kupatwa na kichaa ni nini?
 
Back
Top Bottom