Kijana aliyetelekezwa na mke siku ya harusi atunukiwa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na Waziri Gwajima

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.

Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima

Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto

Hongera sana kwako mheshimiwa waziri

Hongera kwako mwamba uliyekataliwa siku ya harusi
 
Mzee hasira hasala kumbuka kama ni mimi ndo jamaa huyo demu akitaka kuludi ajue atakuwa sogeza tuishi nakuna ndoa tena kama ndoa labda garama afanye yeye na akiludi ni kumpigisha watatu faster ili akili zimkae vzr sawa
 
Yule mwamba aliyentimwa mke siku ya harusi jwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.

Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gajima

Kwa kweli jamaa abastahiki tuzo kweku maana mimi mwanamke anikatae siku ya harisi nyumba yao ningeichoma moto
Kweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.

Tunapoisihi jamii kuepuka ukatili wa kijinsia na walau mmoja akaishinda hasira kwa hekima, inapendeza Sana kumtia moyo na kutambua hekima yake. Huenda ikawa chachu ya mabadiliko kwa wengine 🙏🏽
 
Mzee hasira hasala kumbuka kama ni mimi ndo jamaa huyo demu akitaka kuludi ajue atakuwa sogeza tuishi nakuna ndoa tena kama ndoa labda garama afanye yeye na akiludi ni kumpigisha watatu faster ili akili zimkae vzr sawa
Arudi wapi tena mkuu,mimi ningeoa mwingine,ndani ya mwezi mmoja tu na ningetangaza tu
 
Kweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.

Tunapoisihi jamii kuepuka ukatili wa kijinsia na walau mmoja akaishinda hasira kwa hekima, inapendeza Sana kumtia moyo na kutambua hekima yake. Huenda ikawa chachu ya mabadiliko kwa wengine 🙏🏽

Kumbe kuna mda ccm mnakuaga na akili.
 
Kweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.

Tunapoisihi jamii kuepuka ukatili wa kijinsia na walau mmoja akaishinda hasira kwa hekima, inapendeza Sana kumtia moyo na kutambua hekima yake. Huenda ikawa chachu ya mabadiliko kwa wengine 🙏🏽
Muheshimiwa NAMI nasubiri tuzo yangu ya kuwa single baba Bora kbs km itakupendezaaa muheshimiwa😋
 
Kweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.

Tunapoisihi jamii kuepuka ukatili wa kijinsia na walau mmoja akaishinda hasira kwa hekima, inapendeza Sana kumtia moyo na kutambua hekima yake. Huenda ikawa chachu ya mabadiliko kwa wengine 🙏🏽
Umefanya jambo jema sana mheshimiwa,nikupongeze kwa hilo ,kupitia wewe nami nabadilika ghafla na kuwa kijana mwema,kongole
 
Ahsante Sana kwa kuguswa, mbegu ya mabadiliko hupandwa na wachache kwa tabu, ila Baraka zake hustawisha wengi, kupitia tukio hili naomba wengi waguswe🙏🏽

Mwenye hekima, ujasiri na uthubutu ni kiongozi mahiri wa familia na hatimaye jamii yote, atambuliwe, apewe heshima.🙏🏽
 
Mume mtarajiwa anaenda kwenye send off akiwa kalewa chakari! Hii sio dalili njema,ikiwa siku muhimu kama hiyo kalewa chakari,itakuaje huko kwenye maisha ya ndoa?

Hivi kuna mtu humu anaweza kumuozesha binti yake kwa mume aliyekuja kwenye send off akiwa kalewa chakari? Hiyo ni heshima au dharau kwa familia ya mke mtarajiwa?

Amepewa tuzo coz hili tukio limeangaliwa upande mmoja,ingekua ni mimi ndiye mwenye mamlaka,hiyo tuzo ningewapa familia ya mke mtarajiwa na sio huyo mlevi.
 
Hongera Muheshimiwa waziri, Jambo ulilofanya ni kubwa Sana, ingawa wakosoaji hawawezi kukosekana.
Wakosoe tu kwa kuwa hata mimi yao ambayo ningeweza kuyakosoa nayaona ila nayaacha tu kwa kuwa duniani humu malaika hayupo. Hivyo, vema kushika lako moja la heri ulifanye, kikubwa wapo wanaobarikiwa Nalo. Hakuna aliyekuja kwa mwili wa nyama akaibariki Dunia yote.
 
Back
Top Bottom