MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Mimi nimemkubali jamaa kwakuwathamini masela waliochanga na kuwapigisha misosi km ndoa ipo vile hapa nimemsifu sana jamaa badala ya kujali yeye na mkewe aliekimbia,kwa hili hata mimi nampatia zawadi ya nyota 5Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.
Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima
Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto
Hongera sana kwako mheshimiwa waziri