Kweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.Yule mwamba aliyentimwa mke siku ya harusi jwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.
Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gajima
Kwa kweli jamaa abastahiki tuzo kweku maana mimi mwanamke anikatae siku ya harisi nyumba yao ningeichoma moto
Arudi wapi tena mkuu,mimi ningeoa mwingine,ndani ya mwezi mmoja tu na ningetangaza tuMzee hasira hasala kumbuka kama ni mimi ndo jamaa huyo demu akitaka kuludi ajue atakuwa sogeza tuishi nakuna ndoa tena kama ndoa labda garama afanye yeye na akiludi ni kumpigisha watatu faster ili akili zimkae vzr sawa
Kweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.
Tunapoisihi jamii kuepuka ukatili wa kijinsia na walau mmoja akaishinda hasira kwa hekima, inapendeza Sana kumtia moyo na kutambua hekima yake. Huenda ikawa chachu ya mabadiliko kwa wengine 🙏🏽
Muheshimiwa NAMI nasubiri tuzo yangu ya kuwa single baba Bora kbs km itakupendezaaa muheshimiwa😋Kweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.
Tunapoisihi jamii kuepuka ukatili wa kijinsia na walau mmoja akaishinda hasira kwa hekima, inapendeza Sana kumtia moyo na kutambua hekima yake. Huenda ikawa chachu ya mabadiliko kwa wengine 🙏🏽
Kwa hyo nalo hili litamaliza kero za mauwaji ya watu kukataa mapanga Kwenye ndoa 🤪Kumbe kuna mda ccm mnakuaga na akili.
Umefanya jambo jema sana mheshimiwa,nikupongeze kwa hilo ,kupitia wewe nami nabadilika ghafla na kuwa kijana mwema,kongoleKweli kabisa ndugu yangu. Kitu alichofanyiwa ingekuwa wengine wale wanaotawaliwa na hasira, hekima haipo, mtakubaliana nami kuwa Leo tungekuwa tuna stori ingine.
Tunapoisihi jamii kuepuka ukatili wa kijinsia na walau mmoja akaishinda hasira kwa hekima, inapendeza Sana kumtia moyo na kutambua hekima yake. Huenda ikawa chachu ya mabadiliko kwa wengine 🙏🏽
Kupongeza kwa hata hatua moja ni thawabu ni mbegu ya mabadiliko. Makubwa zaidi watafanya wengine kwa wakati na nyakati za Mungu. Tusiwe wazito kupongeza.Kwa hyo nalo hili litamaliza kero za mauwaji ya watu kukataa mapanga Kwenye ndoa 🤪
🙏 🙏Kupongeza kwa hata hatua moja ni thawabu ni mbegu ya mabadiliko. Makubwa zaidi watafanya wengine kwa wakati na nyakati za Mungu. Tusiwe wazito kupongeza.
Ahsante Sana kwa kuguswa, mbegu ya mabadiliko hupandwa na wachache kwa tabu, ila Baraka zake hustawisha wengi, kupitia tukio hili naomba wengi waguswe🙏🏽Umefanya jambo jema sana mheshimiwa,nikupongeze kwa hilo ,kupitia wewe nami nabadilika ghafla na kuwa kijana mwema,kongole
Hongera Muheshimiwa waziri, Jambo ulilofanya ni kubwa Sana, ingawa wakosoaji hawawezi kukosekana.Kupongeza kwa hata hatua moja ni thawabu ni mbegu ya mabadiliko. Makubwa zaidi watafanya wengine kwa wakati na nyakati za Mungu. Tusiwe wazito kupongeza.
Kweli kabisa muheshimiwaKupongeza kwa hata hatua moja ni thawabu ni mbegu ya mabadiliko. Makubwa zaidi watafanya wengine kwa wakati na nyakati za Mungu. Tusiwe wazito kupongeza.
Wakosoe tu kwa kuwa hata mimi yao ambayo ningeweza kuyakosoa nayaona ila nayaacha tu kwa kuwa duniani humu malaika hayupo. Hivyo, vema kushika lako moja la heri ulifanye, kikubwa wapo wanaobarikiwa Nalo. Hakuna aliyekuja kwa mwili wa nyama akaibariki Dunia yote.Hongera Muheshimiwa waziri, Jambo ulilofanya ni kubwa Sana, ingawa wakosoaji hawawezi kukosekana.