Kijana aliyetelekezwa na mke siku ya harusi atunukiwa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na Waziri Gwajima

Mheshimiwa wazili,japo huenda ikawa ni ndogo, lakini ukweli ni kwamba uelewa sahihi wa neno ukatili,inaonekana wengi hawana.

Kwa mtu asieelewa chanzo na mdhara ya TRAUMA, kila jambo huliona jepesi.
Na wewe kama kioo cha jamoi,usichoke kupokea maoni na kushauri. Kuna watu watabadilika kupitia kauli zako. Mtu ajiuliza kama wazili amefikilia hivi,mimi ni nani niende kinyume?

Ombi: kama inwezekana, ukapata walau mda kila mwezi,ungeruhusu kupokea ripoti ya mawazo na changamoto za wadau,utakazoziona zina mashiko,uzifanyie kazi(uzijibu),yingine uziforward kwa wahusika. Nadhani ni msaada mkubwa,kwa sababu ukiwa kwenye TV,pengine mda usitoshe na wenye maswali na maoni wasiweze kupewa nafasi ya kuongea na wewe.
 
Boss hiv una ushahidi gani kama jamaa alilewa chakali, Ulikuwa nae? wew ni mjomba wa mwanamke? Ni wivu na roho mbaya inakusumbua? au unafuraha kwa kuachwa kwa mwanaume mwenzako kwenye siku yake muhimu kama ile?

Mapito yeyote anayopitia mwanaume mwenzako kwenye maisha basi kwa 80% yanajirudia kwa wanaume wengine wengi. Wote tunapita njia moja hivyo yatupasa tuwe watulivu kwenye nyakati ngumu kama hizo pasipo kuleta maafa kwa watu wengine.
 
Kwavile umetumia lugha ya kipumbavu dhidi yangu,ngoja niende na wewe kama ulivyokuja,

Sikiliza binti,umeusoma uzi lakini au umekurupuka tu kutoka usingizini? Huoni kua uzi umesema kua huyo mlevi mwenzako alilewa chakari siku ya send off?

Wewe ndio umeona wivu sio mimi,ulitamani wewe ndio uwe huyo binti aliyekosa ndoa.
 
Naona pisi kali umekuja na michambo😎 vip unataka vocha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…