Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 966
- 6,019
Amina, shukraniShukrani Mheshimiwa na barikiwa kwa kila hatua uliyochukua katika hili kuna mengi ya kujifunza pia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina, shukraniShukrani Mheshimiwa na barikiwa kwa kila hatua uliyochukua katika hili kuna mengi ya kujifunza pia
Wewe utachangia kiasi gani? 😀Hio tuzo ina thamani ya kiasi gani ama ni maneno matupu😂
Siyo aripoti ustawi tu mshauri aanzie milembe kwanzaRipoti kwanza ustawi wa jamii kwa ushauri tafadhali
Kataa ndoa. Ndoa ni utapeli mamboleo. Hongera sana Dkt. Gwajima D kwa kuwa upande wetu wakataa ndoa. Mungu akubariki sana.Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo.
Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima
Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto
Hongera sana kwako mheshimiwa waziri
Nina uhakika swala la ulevi wa huyo jamaa sio kama mwanamke alikuwa halijui,na sio kwamba hiyo siku ya sendoff ilikuwa ni mara ya kwanza kumuona akiwa kalewa,ila inaonekana ni wapambe,either ndugu,wazazi au wanafamilia wamejaza upepo ukamuingia na yeye kwa aibu kaamua kumtema jamaa,ila huko anakoenda pia asifikiri ndio anaenda mahali salama,inaweza kuwa ni ile jumping from frying pan to fire...Mume mtarajiwa anaenda kwenye send off akiwa kalewa chakari! Hii sio dalili njema,ikiwa siku muhimu kama hiyo kalewa chakari,itakuaje huko kwenye maisha ya ndoa?
Hivi kuna mtu humu anaweza kumuozesha binti yake kwa mume aliyekuja kwenye send off akiwa kalewa chakari? Hiyo ni heshima au dharau kwa familia ya mke mtarajiwa?
Amepewa tuzo coz hili tukio limeangaliwa upande mmoja,ingekua ni mimi ndiye mwenye mamlaka,hiyo tuzo ningewapa familia ya mke mtarajiwa na sio huyo mlevi.
Kususwa au kuachwa kunauma jamani duh!!! Nakumbuka nakaribia kwenda kujitambulisha ukweni ndo mchumba hataki kuongea nami kila KITU ni kigumu , halafu muda mwingine Nakula blacklist, niliumia sana aseeee.unaweza ua,,, ila hiii Dunia Ina watu wapole sanaAhsante Sana kwa kuguswa, mbegu ya mabadiliko hupandwa na wachache kwa tabu, ila Baraka zake hustawisha wengi, kupitia tukio hili naomba wengi waguswe🙏🏽
Mwenye hekima, ujasiri na uthubutu ni kiongozi mahiri wa familia na hatimaye jamii yote, atambuliwe, apewe heshima.🙏🏽
Ampende mama yake baada ya kuachwa na wanaefanya naye ngono? Huu wimbo haufai kabisa kuwa mbadala wa mwanamke. Mapenzi ya mama hayahusiani kabisa na mapenzi yanayohusisha ngono. Mama yako unampenda ukiwa au usipokuwa na mwanamke sababu upendo wake ni wa tofauti.Kilichonichekesha alikua anacheza wimbo unaimba
"Kama kupendaaa bora nimpende mama yangu🎶
Bora niinjoy🎶
Maisha mafupi🎶🎶
Bora niinjoy
Kwahiyo huyo jamaa alikua sahihi kwenda kwenye send off huku akiwa kalewa chakari?Nina uhakika swala la ulevuwa huyo jamaa sio kama mwanamke alikuwa halijui,na sio kwamba hiyo siku ya sendoff ilikuwa ni mara ya kwanza kumuona akiwa kalewa,ila inaonekana ni wapambe,either ndugu,wazazi au wanafamilia wamejaza upepo ukamuingia na yeye kwa aibu kaamua kumtema jamaa,ila huko anakoenda pia asifikiri ndio anaenda mahali salama,inaweza kuwa ni ile jumping from frying pan to fire...
Mhh rafiki unaniangusha, tuikatae ndoa tena? Mhhh naomba nitofautiane nawe hapo jamani 🥲Kataa ndoa. Ndoa ni utapeli mamboleo. Hongera sana Dkt. Gwajima D kwa kuwa upande wetu wakataa ndoa. Mungu akubariki sana.
Pamoja na yote kuachana siku ya harusi sio jambo jemaKwahiyo huyo jamaa alikua sahihi kwenda kwenye send off huku akiwa kalewa chakari?
Tatizo hii issue,wengi mnaiangalia kwa upande mmoja tu,hata kama alikua ni mlevi,je ilikua ni busara kulewa chakari kwenye siku kama hiyo? Mbele ya familia ya mke mtarajiwa?
Hujambo? Swali zuri. Sasa kuna muktadha mbalimbali wa kuangalia jambo unalotaka kwenda nalo; kwa hapa tumeangalia reaction yake mbele ya wageni wake baada ya kuona yamekuwa hayo, je alibaki mtulivu? Maana mtihani wengi wa utulivu umewashinda wengi wako jela huko na wametuachia majeruhi, Yatima na hata vifo.Kwahiyo huyo jamaa alikua sahihi kwenda kwenye send off huku akiwa kalewa chakari?
Tatizo hii issue,wengi mnaiangalia kwa upande mmoja tu,hata kama alikua ni mlevi,je ilikua ni busara kulewa chakari kwenye siku kama hiyo? Mbele ya familia ya mke mtarajiwa?
Jamaa alifanya ujinga. Kupewa tuzo ni kupongeza ujinga alioufanya. Kisingizio kuwa kapewa tuzo sababu hajafanya ukatili ni kisingizio dhaifu. Kama waziri anaona ilikuwa sawa, siku ya kuapishwa kwake mbona hakulewa chakari? Angelewa bwii apewe tuzo. Kijana anakuja siku muhimu ya kukabidhiwa mke halafu yupo chakari kalewa ni ukatili wa hali ya juu sana kwa huyo mwanamke mbele ya wazazi wake.Kwahiyo huyo jamaa alikua sahihi kwenda kwenye send off huku akiwa kalewa chakari?
Tatizo hii issue,wengi mnaiangalia kwa upande mmoja tu,hata kama alikua ni mlevi,je ilikua ni busara kulewa chakari kwenye siku kama hiyo? Mbele ya familia ya mke mtarajiwa?
Na siku idadi ya watu wapole, wavumilivu na wenye hekima ikupungua kwenye jamii, kinachofuata huwa ni vurugu.Kususwa au kuachwa kunauma jamani duh!!! Nakumbuka nakaribia kwenda kujitambulisha ukweni ndo mchumba hataki kuongea nami kila KITU ni kigumu , halafu muda mwingine Nakula blacklist, niliumia sana aseeee.unaweza ua,,, ila hiii Dunia Ina watu wapole sana
Kama wakevi wana busara za kuzuia jazba kwa jambo zito kama hilo niseme tu pombe ni nzuriKwahiyo huyo jamaa alikua sahihi kwenda kwenye send off huku akiwa kalewa chakari?
Tatizo hii issue,wengi mnaiangalia kwa upande mmoja tu,hata kama alikua ni mlevi,je ilikua ni busara kulewa chakari kwenye siku kama hiyo? Mbele ya familia ya mke mtarajiwa?
Nimekusoma ila kama, tutafumbia macho watu wanaoepuka hasira nyakati ngumu, basi vita yetu ya kutokomeza ukatili bado pevu. Unakumbuka kule mwanza mwanaume mmoja alimpiga mke wake risasi saba kichwani kisa tu, simu iliita bila kupokelewa? Halafu naye akajiua.Jamaa alifanya ujinga. Kupewa tuzo ni kupongeza ujinga alioufanya. Kisingizio kuwa kapewa tuzo sababu hajafanya ukatili ni kisingizio dhaifu. Kama waziri anaona ilikuwa sawa, siku ya kuapishwa kwake mbona hakulewa chakari? Angelewa bwii apewe tuzo.
NB: Natambua kazi nzuri anazozifanya waziri, maoni haya yasitoe taswira hasi ya mazuri yake.
Swali lingine kwako hili ndugu; huku kwenye ndoa tunaona watu wakiwa wanalewa huko hadi wanabebana na wake zao na waume zao. Unashaurije? Waachane?Kwahiyo huyo jamaa alikua sahihi kwenda kwenye send off huku akiwa kalewa chakari?
Tatizo hii issue,wengi mnaiangalia kwa upande mmoja tu,hata kama alikua ni mlevi,je ilikua ni busara kulewa chakari kwenye siku kama hiyo? Mbele ya familia ya mke mtarajiwa?
Huyo alisha tambua kosa alilolifanya,ndio maana akawa mpole,hakuna cha busara hapo bali alitambua kosa lake,Kama wakevi wana busara za kuzuia jazba kwa jambo zito kama hilo niseme tu pombe ni nzuri
Heri nawe uchangie. Ina maana baada ya ndoa angekujwa bwi? Angeenda kuomba talaka au unachukua hatua za kutafuta ufumbuzi ajirekebishe honey wako?Nina uhakika swala la ulevuwa huyo jamaa sio kama mwanamke alikuwa halijui,na sio kwamba hiyo siku ya sendoff ilikuwa ni mara ya kwanza kumuona akiwa kalewa,ila inaonekana ni wapambe,either ndugu,wazazi au wanafamilia wamejaza upepo ukamuingia na yeye kwa aibu kaamua kumtema jamaa,ila huko anakoenda pia asifikiri ndio anaenda mahali salama,inaweza kuwa ni ile jumping from frying pan to fire...
Matukio ya ukatili yapo na ndo kazi mnayopambana nayo na kwa hilo Hongereni mno.Nimekusoma ila kama, tutafumbia macho watu wanaoepuka hasira nyakati ngumu, basi vita yetu ya kutokomeza ukatili bado pevu. Unakumbuka kule mwanza mwanaume mmoja alimpiga mke wake risasi saba kichwani kisa tu, simu iliita bila kupokelewa? Halafu naye akajiua.
Ndiyo mnapenda hivyo siyo?
Ety honey wako 🤣🤣🤣🤣Heri nawe uchangie. Ina maana baada ya ndoa angekujwa bwi? Angeenda kuomba talaka au unachukua hatua za kutafuta ufumbuzi ajirekebishe honey wako?