Kijana ambaye bado hujaingia kwenye ndoa usithubutu kufanya makosa haya

Gwili

Member
Joined
Aug 30, 2023
Posts
28
Reaction score
45
Naongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana hisia zako zikikuongoza kumfuata binti utafanya maamuzi ambayo baadaye unaweza kujutia.

Kuna kutokea mimba na ukaingia kwenye mahusiano ya ndoa kwa sababu ya mimba, UTAUMIA
 
Naongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana hisia zako zikikuongoza kumfuata binti utafanya maamuzi ambayo baadaye unaweza kujutia. Kuna kutokea mimba na ukaingia kwenye mahusiano ya ndoa kwa sababu ya mimba UTAUMIA
Mhhhh
 
Vijana wa kwenye 20's na wengine hata 30's ni ngumu kuelewa mambo haya hadi yawakute ndio wanashuka wakiwa wamesha Chelsea🏃🏃
 
Naongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana hisia zako zikikuongoza kumfuata binti utafanya maamuzi ambayo baadaye unaweza kujutia. Kuna kutokea mimba na ukaingia kwenye mahusiano ya ndoa kwa sababu ya mimba UTAUMIA
All in All

Zinaa haijawahi kumuacha mtu Salama
 
Ni kweli kabsa kuna watu wengi wamejikuta kwenye ndoa pasipo matarajio mfano hizo mimba ambazo ni kama faulo mwisho wa siku ndoa za mkeka
Kabisa kabisa wanaoa wanawake ambao hawakutarajia
 
Back
Top Bottom