Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Yaani unaoa Kwa sababu umempa mimba? Kuna Watu wanavituko Hii Dunia asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umefanya kitu tunaita 'fallacy of generalization'.Naongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana hisia zako zikikuongoza kumfuata binti utafanya maamuzi ambayo baadaye unaweza kujutia.
Kuna kutokea mimba na ukaingia kwenye mahusiano ya ndoa kwa sababu ya mimba, UTAUMIA
Yaani unaoa Kwa sababu umempa mimba? Kuna Watu wanavituko Hii Dunia asee