MhhhhNaongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana hisia zako zikikuongoza kumfuata binti utafanya maamuzi ambayo baadaye unaweza kujutia. Kuna kutokea mimba na ukaingia kwenye mahusiano ya ndoa kwa sababu ya mimba UTAUMIA
Na Usiku Sr asikose kuja naye.Mchana Jr
Njoo huku
Vijana wa kwenye 20's na wengine hata 30's ni ngumu kuelewa mambo haya hadi yawakute ndio wanashuka wakiwa wamesha Chelsea🏃🏃Naongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana hisia zako zikikuongoza kumfuata binti utafanya maamuzi ambayo baadaye unaweza kujutia. Kuna kutokea mimba na ukaingia kwenye mahusiano ya ndoa kwa sababu ya mimba UTAUMIA
Mshana Jr
Njoo huku
Hahahahaha mkuu typing errorNa Usiku Sr asikose kuja naye.
Chelsea football clubVijana wa kwenye 20's na wengine hata 30's ni ngumu kuelewa mambo haya hadi yawakute ndio wanashuka wakiwa wamesha Chelsea🏃🏃
Typing error 🤸Chelsea football club
Ila yote ni matokeo ya michakato zembe😂Kupeana mimba kwanza 😅😅huu mchezo hatari sana ,unajikuta unaoa mwanamke ulipanga hit and run..
All in AllNaongea na vijana wenzangu wale ambao bado hawaja ingia kwenye ndoa bado. Kabla ya kumfuata binti hujamwambia kusudi lako, usisukumwe kumtongoza binti kwa kusukumwa na tamaa za mwilini, maana hisia zako zikikuongoza kumfuata binti utafanya maamuzi ambayo baadaye unaweza kujutia. Kuna kutokea mimba na ukaingia kwenye mahusiano ya ndoa kwa sababu ya mimba UTAUMIA