Kijana ambaye bado hujaingia kwenye ndoa usithubutu kufanya makosa haya

Vijana wa kwenye 20's na wengine hata 30's ni ngumu kuelewa mambo haya hadi yawakute ndio wanashuka wakiwa wamesha Chelsea🏃🏃
Ngumu saaana mpaka apatikane
 
Umefanya kitu tunaita 'fallacy of generalization'.

Sio wote wanaoingia kwenye ndoa kwasababu ya mimba basi wanaishia kujutia. Wapo wengi tu wanafurahia; ingawa wanaoteseka hawakosekani pia.
 
Umefanya kitu tunaita 'fallacy of generalization'.

Sio wote wanaoingia kwenye ndoa kwasababu ya mimba basi wanaishia kujutia. Wapo wengi tu wanafurahia; ingawa wanaoteseka hawakosekani pia.
Nilizungumza kwa upande mmoja wa wanao umizwa .nimekuelewa
 
Naongeza kijana kama unajiweza tafadhal usioe mfanyakazi.....utakufa siku sio zako.oa wa la saba au form four
 
Naongeza kijana kama unajiweza tafadhal usioe mfanyakazi.....utakufa siku sio zako.oa wa la saba au form four
Sio wafanyakazi wote lakini baadhi yao wapo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…