Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

Tusipooa mkuu, nani atatufariji siku zetu za mwisho mwisho tukiwa hoi kitandani , huku kifo kikiwa karibu kabisa chini ya mvungu wa kitanda?
Kwahiyo unategemea kufarijiwa na mke ukiwa unataka kufa wakati huyo ndo aliekuchanganyia dawa kwenye chakula ikuue taratibu miaka 15 iliyopita hapo tegemea faraja ya kinafiki tu
 
Kimekutokea nini mkuu?
 
Umeoa wanawake wangapi ?
Kama hujaoa bhc uzoefu huo umeona kwa Mama yako akimfanyia baba yako au Dada zako wakiwafanyia shemeji zako
Nyie ndio chanzo cha single maza mtaani alaf mnakuja na Uzi hapa kua tusioe single maza
sie wanaume tumekua watu wa hovyooo mnoo
Anyway nami niko kwenye kutafuta mke ambae hana sifa za Dada zako ulizotaja hapo juu
 
Mkuu sijui nianzie ila🙌
Mwanamke mcha Mungu na asiye mcha Mungu woote ni wale wale shika hii kauli, ni suala la muda.
Mwanamke ni yule yule tu.
Mjali mkeo mpe kila kitu ...akose sababu ya kukucheat
Kama ukifanya hivo na akakucheat mpe talaka
Mungu kahalalisha talaka unless ww ni mtu wa kanisa hapo itabidi umvumilieeee maana hilo ndio chaguooo lakoo
 
Mjali mkeo mpe kila kitu ...akose sababu ya kukucheat
Kama ukifanya hivo na akakucheat mpe talaka
Mungu kahalalisha talaka unless ww ni mtu wa kanisa hapo itabidi umvumilieeee maana hilo ndio chaguooo lakoo
Hata iwe kanisan naachan nae mkuu.
 
Hapana ndoa ya kanisa ni moja utamuachaje ?
Mwanamke akisha cheat basi hawezi, maana yake ataendelea kukiachia huko nje na mim atanidharau, aniletee magonjwa, na stress mwisho nife kwakweli hapana.
 
Mkuu sijui nianzie ila🙌
Mwanamke mcha Mungu na asiye mcha Mungu woote ni wale wale shika hii kauli, ni suala la muda.
Mwanamke ni yule yule tu.
Umenigusa, niliwahi muona binti mcha Mungu akawa na mapungufu kadhaa na historia mbaya nkasema atabadilika, acha tu mkuu mambo yalikuwa mengi sana.

Kuna fumbo kubwa sana la mwanamke kuzungumza na shetani bustani ya Eden.
 
Tobo tu likupe matatizo yote hayo??? Ndio maana sabuni zinapanda bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…