Kijana ambaye hujaoa kamwe usifikirie kuoa

Naungana na wewe Kwa 💯 mm Kuna mmoja hadi tumefikia stage ya kupeleka mahari kwao harafu anakuja kubadilika gafla eti alikosea, uyu amenifanya nichukie neno kuoa.
 
Acha unyonge…. Kipimo cha uanaume ni kumanage hao watu hadi waombe mma na kukuheshimu

Tatizo wanaume Kama mabinti mmekua wengi sana

Vipi mnataka kuoana wenyewe kwa wenyewe?
 
Ndoa nI kitu kizuri sana, pale wanapokutana watu wawili wenye nia ya dhati kabisa ya kuanza pamoja kama familia, Lakini ikiwa tofauti na hapo ndoa hugeuka kama sehemu ya mateso na majuto mengi,
Kwa hali ilivyo sasa, inaleta mashaka mengi sana hususani kwa wanaume kwa sababu kwa kiasi kikubwa ndoa ni mzigo mzito wa majukumu kwa mwanaume
Inafikirisha na kuumiza sana yani mwanamke unayejitahidi kumtunza kwa kumuhudumia kwa kila kitu, akawa hakuheshimu au akawa ana mahusiano mengine nje ya ndoa yake
 
Kuna mtu humu jana kashauri watu wa wazamani walikuwa wakiona mwanaume anaishi chumba chake, mke anaishi na watoto chumba kingine, ile ilikuwa inaleta hamu kila mkionana hakuna kuchokana
 
Acheni uwoga acheni kulialia...

Yote uliyosema mleta mada ni ukweli mtupu, ila NASEMA ukishazaliwa Mwanaume wewe ni askari acha kulialia tafuta Kitu kinaitwa NGUVU ZA KIROHO hapo ndio hao tunaowalalamikia wametuzidi.

Ni kwamba kitendo Cha kufanya mapenzi mara 2 au 3 na Mwanamke na wewe huna hesabu ya kumuoa na Yeye akawa ameshaona wewe ndiye MUME wake...

Mkuu nakuhakikishia hujinasui, unanasa, katika upande wa kiroho atakuzidi nguvu.

Unachopaswa ni kutafuta nguvu za kiroho, sababu kuoa ni lazima na kama huoi uwe na uhakika utaishi na Mwanamke atakayekulazimisha uishi naye bila ridhaa yako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…