Acheni uwoga acheni kulialia...
Yote uliyosema mleta mada ni ukweli mtupu, ila NASEMA ukishazaliwa Mwanaume wewe ni askari acha kulialia tafuta Kitu kinaitwa NGUVU ZA KIROHO hapo ndio hao tunaowalalamikia wametuzidi.
Ni kwamba kitendo Cha kufanya mapenzi mara 2 au 3 na Mwanamke na wewe huna hesabu ya kumuoa na Yeye akawa ameshaona wewe ndiye MUME wake...
Mkuu nakuhakikishia hujinasui, unanasa, katika upande wa kiroho atakuzidi nguvu.
Unachopaswa ni kutafuta nguvu za kiroho, sababu kuoa ni lazima na kama huoi uwe na uhakika utaishi na Mwanamke atakayekulazimisha uishi naye bila ridhaa yako...