Kwann ufanye hivyo, huyo akawekwe ndani. Apige kazi nzito miaka mitatu akitoka huko atakuwa na adabu.kuuwa sio sawa,,, kata mkono....toboa jicho 1...ateseke na maaumivu na nduguze wapambane kumuuguza......KAMA HUJAWAHI IBIWA......na MAISHA YAKASIMAMA KWA SIKU 1 TUU....huwezi jua maana ya KUWAADHIBU hawa JAMAA...
Itoshe kusema huna akili....Iringa walimkamata mmoja wakamuuliza, tukipige msumari kichwani au tukunywesha uji? Jamaa akachangua uji. Wakamkorogea Cement na wakamwambia anywe kisha aondoke. Jamaa baada ya masaa 2 tumbo limejaa, kuongea hawezi hadi akafa.
Mkuu naomba ntumie videoSauz ndo wanaongea kiswahili clear kabisa kile mfano kuna mwana anaerekod Anasema kuhusu memory alioibiwa???
Zinapatikana wapi mkuu?Nowadays kwenye gari funga secret kill switch mathalani ambayo ni wireless.
Kuna aina fulani ya kill switch the moment unazima gari inalock engine isiweze kuwaka. Mpaka utakapokuja kuruhusu mwenyewe na remote yako ndio inawaka. [Hapa kunakuwa hakuna excuse ya mtu kusema nilisahau kuweka ON kill switch.]
As long as mwizi amekuja kuiba gari na ikamgomea kuwaka, hakuna mwizi atakaa aanze kuhangaika kulirekebisha ili liwake, hayupo.
Ukila nyama ya mtu huwezi kuachaAlionywa sana ila hakutaka kusikia huyu. Amevuna alichopanda.
South wanaongea kiswahili?Hii video ilisambaa kama sio miaka mitatu basi ni zaidi ya hiyo imepita. Ilikuwa south Africa wakati wahamiaji wakiuawa. Naona imebadilishwa kuwa ya kaka jambazi
Upo sahihi mkuuMkuu Porini ndio kuna usalama kama unataka kujilinda na Wanyakuzi wa Spea na Mafuta.
Trust me ndio zangu hizo, wewe ukitaka kuibiwa hadi geaboksi paki Polisi.
Pikipiki tu zilizokuwa zimetiwa mbaroni kuja kuachiwa unakuta imeshafanywa spea.Upo sahihi mkuu
Wakaiba gari lote wakasepa ama visipea baadhi. Aisee pole yake huyo mdogo wako. Inauma jamani hela inapatikana kwa jasho na damu Ila wengine wanaona Ni sawa kuipata bila ya kutoa jasho na damu.Kweli kabisa, wiki jana, wamemuibia mdogo wangu, ki IST kake kikiwa kimepaki uwani, akiwa amekitumia wiki mbili tu toka akinunue.
Mkuu namie naomba unutupie pm tàfadhaliCheck inbox
Huyo mke wake inabidi afarijiwe Mana dini ya kweli na Safi Ni kuwatembelea wajane na yatima basiiiNiliona video yake akiungua aisee ni majuto kwa mkewe maana marehemu mwizi ana miliki pisi moja ya hatari imenyooka na mtoto mmoja mdogo.
Wezi wa siku hizi ni vijana smart kabisa ila ni tamaa tu za maisha mazuri pasipo kufanya kazi.
Mkuu nakuomba unitumie hiyo videoAu anaweza kuinywa.
Nimeshaifuta mkuu, inatisha sana nisingeweza kuiacha kwenye simu. Check na Mr Q imhotep Me I and my selfMkuu namie naomba unutupie pm tàfadhali
Hao wasenge wapo na maeneo ya Igawa mbele kabla hujafika check point Mpakani paleBado wale wanaodandia Malori pale Kwamakunganya, Kihonda, Morogoro.
Tena siku hizi wanalifukuza Lori la Mizigo kwa kutumia Pikipiki hadi Wami Dakawa.
Wale dawa yao ni kuwanywesha Petroli hadi avimbewe halafu ndio unapiga kiberiti ili kila akicheua anacheua moto kama Ibilisi.
Ana bahati, ningekuwepo jirani, ningeuzima huo moto, tutafute oven ya udongo kisha tumfanye ndafu tumpelekee Monica na UMUGHAKA wafanye partyMara ya mwisho kuna mtu aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.
Hapa Dar es Salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.
Picha na video zinatisha sana
View attachment 2388782
View attachment 2388786
Wezi Wana sura zao personal ujue!Kwani wizi una chagua mkaka mzuri na mbaya? Mbona viongozi wetu wazuri tu na wezi
Kaja kibibi tayari na waarabu wake.Najaribu kufikiri tukio hili lingefanyika moja ya nchi za Kiarabu. Tena ingetokea akakatwa mkono tu. Pasingetosha humu.
Kweli nyani haoni kundule.
na wewe umeileta humu kututisha!Mara ya mwisho kuna mtu aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.
Hapa Dar es Salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.
Picha na video zinatisha sana
View attachment 2388782
View attachment 2388786