Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Kwann ufanye hivyo, huyo akawekwe ndani. Apige kazi nzito miaka mitatu akitoka huko atakuwa na adabu.kuuwa sio sawa,,, kata mkono....toboa jicho 1...ateseke na maaumivu na nduguze wapambane kumuuguza......KAMA HUJAWAHI IBIWA......na MAISHA YAKASIMAMA KWA SIKU 1 TUU....huwezi jua maana ya KUWAADHIBU hawa JAMAA...