Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

Kijana anayetuhumiwa kuiba vifaa vya magari achomwa moto live huku akirekodiwa

kuuwa sio sawa,,, kata mkono....toboa jicho 1...ateseke na maaumivu na nduguze wapambane kumuuguza......KAMA HUJAWAHI IBIWA......na MAISHA YAKASIMAMA KWA SIKU 1 TUU....huwezi jua maana ya KUWAADHIBU hawa JAMAA...
Kwann ufanye hivyo, huyo akawekwe ndani. Apige kazi nzito miaka mitatu akitoka huko atakuwa na adabu.
 
Iringa walimkamata mmoja wakamuuliza, tukipige msumari kichwani au tukunywesha uji? Jamaa akachangua uji. Wakamkorogea Cement na wakamwambia anywe kisha aondoke. Jamaa baada ya masaa 2 tumbo limejaa, kuongea hawezi hadi akafa.
Itoshe kusema huna akili....
 
Nowadays kwenye gari funga secret kill switch mathalani ambayo ni wireless.

Kuna aina fulani ya kill switch the moment unazima gari inalock engine isiweze kuwaka. Mpaka utakapokuja kuruhusu mwenyewe na remote yako ndio inawaka. [Hapa kunakuwa hakuna excuse ya mtu kusema nilisahau kuweka ON kill switch.]

As long as mwizi amekuja kuiba gari na ikamgomea kuwaka, hakuna mwizi atakaa aanze kuhangaika kulirekebisha ili liwake, hayupo.
Zinapatikana wapi mkuu?
 
Kweli kabisa, wiki jana, wamemuibia mdogo wangu, ki IST kake kikiwa kimepaki uwani, akiwa amekitumia wiki mbili tu toka akinunue.
Wakaiba gari lote wakasepa ama visipea baadhi. Aisee pole yake huyo mdogo wako. Inauma jamani hela inapatikana kwa jasho na damu Ila wengine wanaona Ni sawa kuipata bila ya kutoa jasho na damu.
 
Niliona video yake akiungua aisee ni majuto kwa mkewe maana marehemu mwizi ana miliki pisi moja ya hatari imenyooka na mtoto mmoja mdogo.

Wezi wa siku hizi ni vijana smart kabisa ila ni tamaa tu za maisha mazuri pasipo kufanya kazi.
Huyo mke wake inabidi afarijiwe Mana dini ya kweli na Safi Ni kuwatembelea wajane na yatima basiii
 
Bado wale wanaodandia Malori pale Kwamakunganya, Kihonda, Morogoro.

Tena siku hizi wanalifukuza Lori la Mizigo kwa kutumia Pikipiki hadi Wami Dakawa.

Wale dawa yao ni kuwanywesha Petroli hadi avimbewe halafu ndio unapiga kiberiti ili kila akicheua anacheua moto kama Ibilisi.
Hao wasenge wapo na maeneo ya Igawa mbele kabla hujafika check point Mpakani pale
 
Mara ya mwisho kuna mtu aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.

Hapa Dar es Salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.

Picha na video zinatisha sana

View attachment 2388782

View attachment 2388786
Ana bahati, ningekuwepo jirani, ningeuzima huo moto, tutafute oven ya udongo kisha tumfanye ndafu tumpelekee Monica na UMUGHAKA wafanye party
 
Najaribu kufikiri tukio hili lingefanyika moja ya nchi za Kiarabu. Tena ingetokea akakatwa mkono tu. Pasingetosha humu.

Kweli nyani haoni kundule.
Kaja kibibi tayari na waarabu wake.
Unawaona miungu hao watu,
Nyie ndo mnalishwa mpk nnya huko huku mnachekelea
 
very sad hata kama ndio mwizi kuchoma mtu akiwa hai namna ile ni kosa la jinai hakuna sheria inayoruhusu mtu mumuua mwenzie kwa sababu yoyote ile, by the way ndio ule umasikini ambao nauongeleaga kila wakati. USIUE
 
Back
Top Bottom