babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Wanaomjua wanasema anakaa hapo kimara na ni mwizi sugu toka mabibo,ubungo na walikua wakimlia timming tuHii video ilisambaa kama sio miaka mitatu basi ni zaidi ya hiyo imepita. Ilikuwa south Africa wakati wahamiaji wakiuawa. Naona imebadilishwa kuwa ya kaka jambazi
Acha uongo kijana.Hii video ilisambaa kama sio miaka mitatu basi ni zaidi ya hiyo imepita. Ilikuwa south Africa wakati wahamiaji wakiuawa. Naona imebadilishwa kuwa ya kaka jambazi
ndio wale wanajaza mafuta kwenye mifuko?Hao wasenge wapo na maeneo ya Igawa mbele kabla hujafika check point Mpakani pale
Wewe jamaaa nitumie video hiyoVideo ni kali, kama hujawahi kupata masaibu ya kuibiwa utaiogopa na kutia huruma.
Nimeiona nikarewind matukio ya wizi yaliyowahi kunikuta na jinsi nilivyopitia hivyo vipindi, nikasema yess "kwanini na wale wezi walioniibia hawakukamatwa"?
Hapana, hawa wanashusha mizigo kwenye malori yanayotembea taratibu maeneo yenye vilimandio wale wanajaza mafuta kwenye mifuko?
Wananchi wanakuwa na hasira kali na mob psychology inachangia. Tatizo hao wahalifu huwa hawasiti kujeruhi au kufanya mauaji hivyo watu wamewachoka.Very sad hata kama ndio mwizi kuchoma mtu akiwa hai namna ile ni kosa la jinai hakuna sheria inayoruhusu mtu mumuua mwenzie kwa sababu yoyote ile,
Hao wanatakiwa wapigwe grisi kilo tano kwenye vinyeo vyao halafu ndio wapigwe kiberiti walipuke kama kombora.Hao wasenge wapo na maeneo ya Igawa mbele kabla hujafika check point Mpakani pale
Kama hivyo bhasi nimehairisha nilikuwa nina mpango nimnunulie dogo bodaboda used apige nayo job nimegopa tusije kuuziwa bodaboda ya wizi yakaja kutukuta...ya nini mieNdio wanaotuma wezi hao.
Hatari sanaNdio wanaotuma wezi hao.
Hakikisha anayekuuzia mnafuata process zote za kuandikishana halafu unakagua na kadi Tra.Kama hivyo bhasi nimehairisha nilikuwa nina mpango nimnunulie dogo bodaboda used apige nayo job nimegopa tusije kuuziwa bodaboda ya wizi yakaja kutukuta...ya nini mie
Ni mpuuzi tu sijui mahaba ya aina gani yamemjaa huyu anaweza hata kusaliti nchi yake na wazazi wake sababu ya hao mabwana zake waarabu.We ni raia wa nchi za kiarabu au basi tu shobo na jamii isiyokuhusu kwa lolote ?!
Nenda kakae uarabuni basi uonyeshe uzalendo wako kwa jamii hiyo. Msyuuuuuuuuuuuuuuu [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]qmmk wallahBado wale wanaodandia Malori pale Kwamakunganya, Kihonda, Morogoro.
Tena siku hizi wanalifukuza Lori la Mizigo kwa kutumia Pikipiki hadi Wami Dakawa.
Wale dawa yao ni kuwanywesha Petroli hadi avimbewe halafu ndio unapiga kiberiti ili kila akicheua anacheua moto kama Ibilisi.
AseeKweli kabisa, wiki jana, wamemuibia mdogo wangu, ki IST kake kikiwa kimepaki uwani, akiwa amekitumia wiki mbili tu toka akinunue.
Unainunua kisheria iwe imeambatana n risiti n vibali vyote halaliKama hivyo bhasi nimehairisha nilikuwa nina mpango nimnunulie dogo bodaboda used apige nayo job nimegopa tusije kuuziwa bodaboda ya wizi yakaja kutukuta...ya nini mie
Kule wanaenda kumpa kifaranga cha mbwa anyonyeshe Kama yule dada wa Kenya. Huyu sister ni mwarabu mweusi.We ni raia wa nchi za kiarabu au basi tu shobo na jamii isiyokuhusu kwa lolote ?!
Nenda kakae uarabuni basi uonyeshe uzalendo wako kwa jamii hiyo. Msyuuuuuuuuuuuuuuu [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]