babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Wanaomjua wanasema anakaa hapo kimara na ni mwizi sugu toka mabibo,ubungo na walikua wakimlia timming tuHii video ilisambaa kama sio miaka mitatu basi ni zaidi ya hiyo imepita. Ilikuwa south Africa wakati wahamiaji wakiuawa. Naona imebadilishwa kuwa ya kaka jambazi