Ni mwizi na alikuwa akifahamika. na alishaonywa sana.Swali alikamatwa kwenye mazingira gani?
A.Je alikamatwa red handed?
B. Au vilikamatwa vifaa vikiwa kwake?
Kama jibu ni A sawa ila kama jibu ni B huenda na yeye ameuziwa ni bora angeulizwa aliuziwa na na ni, but its late already.
Waliniibia mziki wangu na flash zangu Hawa watu. Hawafai ila kuwaua siyo vizuri.Alionywa sana ila hakutaka kusikia huyu. Amevuna alichopanda.
Sidhani jamaa anakaa kama mwizi. Huenda alifumaniwa akimchapia mtu mke.Mara ya mwisho kuna mtu
aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.
Hapa Dar es salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.
Picha na video zinatisha sana
View attachment 2388782
View attachment 2388786
Basi kavuna alichopandaNi mwizi na alikuwa akifahamika. na alishaonywa sana.
Ingekuwa V8 ungeiita ki v8?Kweli kabisa, wiki jana, wamemuibia mdogo wangu, ki IST kake kikiwa kimepaki uwani, akiwa amekitumia wiki mbili tu toka akinunue.
Hiyo video ina MB ngapi mbona haipandishwi hapaNi mwizi na alikuwa akifahamika. na alishaonywa sana.
Wizi ni chain, kwanini ununue vitu vya mishe mishe?Swali alikamatwa kwenye mazingira gani?
A.Je alikamatwa red handed?
B. Au vilikamatwa vifaa vikiwa kwake?
Kama jibu ni A sawa ila kama jibu ni B huenda na yeye ameuziwa ni bora angeulizwa aliuziwa na na ni, but its late already.
Tuonane mafichoni PMSheria ya mtandao inabana.
Kuna wezi ni wastaarabu hata huwezi amini na wanaishi na familia zao. Hili nimelishuhudia kabisa kwenye familia ambayo baba ni mwizi ukimuona huwezi amini.Sidhani jamaa anakaa kama mwizi. Huenda alifumaniwa akimchapia mtu mke.
Video ya mtu akiwa anaungua unataka uione iliikusaidie nin mkuu?Usingeanzisha na Uzi basi kama Video hutaki kuweka,hairuhusiwi mitandaoni kwani tunafahamiana kwa majina humu JF??
Mtu anavuna alichopanda ili akitumie, sasa huyu amevuna alichopanda atakitumia wapi?Alionywa sana ila hakutaka kusikia huyu. Amevuna alichopanda.