Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mkuu wezi wa mnadani na gerezani wanaodili na wizi wa vitu vya kwenye magari uwa wako smart sana na wengine wanamiliki usafiri na nyumba za maana,wakiipenda gari yako hata kama waliiona k'koo basi wataifutilia inapolala hata kama unaishi kibaha watapajua tu then siku yake wakijiridhisha ukiamka asubuhi unakuta wamekuachia scraperSidhani jamaa anakaa kama mwizi. Huenda alifumaniwa akimchapia mtu mke.
Mbona mtanashati, au kasingiziwa na jamaa aliekuwa anampigia?Eeeeeh kweny hyo picha ndo jambazi lenyewe
Na yeye pia alikuwa mfuasi wa yesu?Mara ya mwisho kuna mtu
aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.
Hapa Dar es salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.
Picha na video zinatisha sana
View attachment 2388782
View attachment 2388786
Wezi wa siku hizi wapo smart Sana aisee, nakumbuka kuna dogo aliuwawa kwa kuchomwa moto na alikua smart ,ulikua ukimuona huwezi kumdhania aisee , kumbe dogo alikua mwizi Wa piki pikiMara ya mwisho kuna mtu
aliniibia laki mbili na akagoma kurudisha nilipata hasira sana lakini hii video imenifanya nipate huruma.
Hapa Dar es salaam, kijana amechomwa moto huku raia wakimrekodi kwasababu amekuwa akiiba vifaa vya magari.
Picha na video zinatisha sana
View attachment 2388782
View attachment 2388786
We unaongelea flash, Servo Clutch ya Scania G ni milioni saba mzee...Waliniibia mziki wangu na flash zangu Hawa watu.Hawafai ila kuwaua siyo vizuri.
Wengi wanatoka usiku hao machalii wanakaa sana sinza wengi mabishoo ila ndo wale wavunja nondo na kupulizia watu madawa kuwaibia usiku...Wana maduka special mkoani wanasuppply vitu vya uwizi mfano gari wanaweza kuiba hapa ikapelekwa Kilimanjaro hukoWezi wa siku hizi wapo smart Sana aisee, nakumbuka kuna dogo aliuwawa kwa kuchomwa moto na alikua smart ,ulikua ukimuona huwezi kumdhania aisee , kumbe dogo alikua mwizi Wa piki piki
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Sheria ya mtandao inabana.[/QUOTE
Kwa hiyo wewe ndio unajua sheria..!?
Lete sheria tuvunje,
Jukwaa la Roho ngumu hili ziweke Mkuu.Picha na video zinatisha
Halafu mwizi hana hasara anauza kwa milioni moja au mbili tu.We unaongelea flash, Servo Clutch ya Scania G ni milioni saba mzee...
Tunataka pesa za haraka na rahisi kupatikana hatutaki kuchosha mwili🥲🥲sio mchezo.. kijana smart kwa kumwangalia kumbe hana akili kichwani ameshindwa hata kufanya biashara hata za kuuza bidhaa mbalimbali mtandaoni?
Wengi wanaodili na hio biashara huwa wanapewa mpaka order hadi 1.5 mills.Halafu mwinzi hana hasara anauza kwa milioni moja au mbili tu.
Basi weka link tuingie Wazee wa Ngwasuma.Unanitafutia ban na kuitwa sentro wewe.
Haya tukutane pm iutupie mi niiweke hapa.Unanitafutia ban na kuitwa sentro wewe.