Thinner ni nini rafiki?Sasa kitaa kuna mbwiga mmoja alikuwa anasumbua sana raia kwa kukata visambusa madirishani, siku zake 40 zilivyofika...
Watu walitafuta funnel (sijui kiswahili chake, ila ni kile kidude unatumia kujaza mafuta au kimiminika kwenye kidumu), akashikwa kwa nguvu, kile kidude kikawekwa mdomoni, akamiminiwa thinner lita moja tu...halafu akaachwa aende...
Sasa hivi huyo jamaa anaendelea na shughuli ya uporaji kuzimu huko...
Angle grinder😆namuonea huruma uyo mwizi atakayekuja kwako
Thinner ni nini rafiki?
Msumari wa kupigilia majahaziMiaka ya nyuma nilikuwa naishi huko 'waja leo waondoka leo', sasa kulikuwa na wezi hawa wa kudokolea watu wanasumbua kweli...
Siku moja akatiwa nguvuni na wananchi wenye hasira kali. Watu wakapiga yowe, "tumchomee, lete petrol, lete kiberiti, sijui lete tairiiii"...
Kuna Mpemba mmoja alikuwa mvuvi na mtengeneza yale majahazi ya uvuvi, Tanga wayaita madau...
Akawaambia watu "yakhhee niachieni huyo", jamaa akaingia ndani akatoka na msumari mmoja (waitwa msumari wa dau, ni kama ule aligongwa nao Yesu) na nyundo...
Basi, alipigwa msumari wa utosi hadi ukazama wote, halafu wakamuacha aende zake...
Huyo kibaka naye kwa sasa yupo kuzimu akiendelea na harakati za kupora vinyamkera huko...
Hii adhabu wanastahili watu wenye roho za ulafi kama hawa wezi, yaani anaungua huku akiona live na kuhisi maumivu taratibu.Hilo Tyre walilimvika saizi ishirini yaani liungue mpaka liishe atabaki ni majivu tu.
Duh! Alikufa huku anajiona.Solvent ya kuyeyusha au kulainisha rangi zile zinapigwa kwenye magari au hata vyuma...
Ina kaharifu fulani kama zile liquid wadada huwa mnatumia kufuta rangi za kwenye kucha...
Kuna mwizi mmoja mbagala alikatwa miguu na msumeno ,kuna watu wana roho ngumu aisee,,🙌Miaka ya nyuma nilikuwa naishi huko 'waja leo waondoka leo', sasa kulikuwa na wezi hawa wa kudokolea watu wanasumbua kweli...
Siku moja akatiwa nguvuni na wananchi wenye hasira kali. Watu wakapiga yowe, "tumchomee, lete petrol, lete kiberiti, sijui lete tairiiii"...
Kuna Mpemba mmoja alikuwa mvuvi na mtengeneza yale majahazi ya uvuvi, Tanga wayaita madau...
Akawaambia watu "yakhhee niachieni huyo", jamaa akaingia ndani akatoka na msumari mmoja (waitwa msumari wa dau, ni kama ule aligongwa nao Yesu) na nyundo...
Basi, alipigwa msumari wa utosi hadi ukazama wote, halafu wakamuacha aende zake...
Huyo kibaka naye kwa sasa yupo kuzimu akiendelea na harakati za kupora vinyamkera huko...
Standard thinner ...km ni hiyo iko km mafuta ya taa (kerosene)Thinner ni nini rafiki?
[emoji23] ila wizi unataka moyo mana ukidakwa watu hawakucheleweshi.Kuna mwizi mmoja mbagala alikatwa miguu na msumeno ,kuna watu wana roho ngumu aisee,,[emoji119]
Atafufuka nao huo siku ya kiama, tutamjua tu tumuanzishie kipigo kingine.Basi, alipigwa msumari wa utosi hadi ukazama wote
Shukrani
[emoji23][emoji23]Atafufuka nao huo siki ya kuama tutamjua tu tumuanzishie kipigo kingine.
Shida wakienda polisi baada ya muda wanatoka na wanaendeleza wizi. Wacha wapotezwe tu.Naunga mkono waliotekeleza jambo hilo la haki, maana ukimpeleka polisi ni dana dana tu
Halafu hao ukimwambia kuna kazi hakai hata siku anaiba na kutokomea.Hii adhabu wanastahili watu wenye roho za ulafi kama hawa wezi, yaani anaungua huku akiona live na kuhisi maumivu taratibu.
Kusafishiwa geto/mali halafu ukaachwa mtupu bila senti 5, inauma zaidi ya maumivu anayoyapata huyu anayechomwa moto.
Niliwahi kuibiwa, iliniuma sana hadi nikaanza kuwaza ambayo hata haviwaziki.
Kuna polisi wapumbavu sana halafu hawana aibu, mimi waliiba betri ya pikipiki ilipolala kituoni.Mkuu Porini ndio kuna usalama kama unataka kujilinda na Wanyakuzi wa Spea na Mafuta.
Trust me ndio zangu hizo, wewe ukitaka kuibiwa hadi geaboksi paki Polisi.
Wizi ni spirit wizi ni maroho mabaya ndio maana uwa hawaachi utakuta mtu amekatwa mikono lakini bado anaiba kwa kutumia mdomo[emoji23] ila wizi unataka moyo mana ukidakwa watu hawakucheleweshi.
Unafiki mwenye mke anaitwa mage hapo jirani na huyo mwizi hawezi kupata hii habari? Unataka kuleta za masanja hapa.Dogo kala mke wa mtu anaitwa Mage week nne zimepita now am connecting The dots
Video ni kali, kama hujawahi kupata masaibu ya kuibiwa utaiogopa na kutia huruma.Mkuu nimeifuta inataka moyo kuangalia unaweza kujikuta ukaifanya siku yako iwe mbaya..
Muombe brother imhotep akutumie at ur own risk
Kuna visa vingi gari linabadilishwa spea zinafungwa chakavu gari unaliwasha hata haliwaki ukifungua bonnet ndio unastaajabu.Kuna polisi wapumbavu sana halafu hawana aibu, mimi waliiba betri ya pikipiki ilipolala kituoni.